warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Staa kutoka pande za nollywood, Regina Daniels , kwa mara nyingine anatikisa kwenye mitandao ya kijamii baada ya hivi karibuni, mume wake ambaye ni millionaire , kumzawadia saa ya million 140 kwenye siku yake ya kuzaliwa kama birthday Gift.
Staa huyo mwenye mvuto na hulka ya upole ameonekana ku show off Zawadi hiyo huku akisisitiza kuwa it’s her time to show off...
Regina anaonekana kuwatamanisha ma slay queen wengi Africa nzima, Kwan Staa huyo ndiye anayeongoza kuishi maisha expensive /lavish/glamour life style ukilinganisha na umri wake.
Ikumbukwe Regina ni binti mdogo tunaweza kumlinganisha na lulu michael hapa kwetu , mrembo huyo aliokota embe dodo baada ya kujiingiza kwenye mahusiano na tajir huyo nchini Nigeria .