Staa kutoka pande za nollywood, Regina Daniels , kwa mara nyingine anatikisa kwenye mitandao ya kijamii baada ya hivi karibuni, mume wake ambaye ni millionaire , kumzawadia saa ya million 140 kwenye siku yake ya kuzaliwa kama birthday Gift.
Staa huyo mwenye mvuto na hulka ya upole ameonekana ku show off Zawadi hiyo huku akisisitiza kuwa it’s her time to show off...
Regina anaonekana kuwatamanisha ma slay queen wengi Africa nzima, Kwan Staa huyo ndiye anayeongoza kuishi maisha expensive /lavish/glamour life style ukilinganisha na umri wake.
Ikumbukwe Regina ni binti mdogo tunaweza kumlinganisha na lulu michael hapa kwetu , mrembo huyo aliokota embe dodo baada ya kujiingiza kwenye mahusiano na tajir huyo nchini Nigeria .
warumi bila kujali jinsia yako ifike hatua na wewe bwana ako akununulie japo helmet ya bodaboda ili kujikinga na ajali za barabarani kila ukikodi pikipiki.
warumi bila kujali jinsia yako ifike hatua na wewe bwana ako akununulie japo helmet ya bodaboda ili kujikinga na ajali za barabarani kila ukikodi pikipiki.
warumi bila kujali jinsia yako ifike hatua na wewe bwana ako akununulie japo helmet ya bodaboda ili kujikinga na ajali za barabarani kila ukikodi pikipiki.
Kuna watu wananijua humu, nawapa ruhusu wakupe habari zangu briefly ...
Halafu wengine binamu hatuishi kwa kuhongwa, Tatizo nyie watoto wa uswahilin Kuhongwa kwenu ndo fashion , Coz hamna elimu na kwenu mnanuka umaskini, so mkipata bahati ya kuhongwa kwenu ndo mkombozi wa maisha yenu
I’m not bragging , but I’m a living a life , your dream life , I’m sure hata wewe ungeyataman kuyaishi , in short, I have got money , plenty of it , I can take myself anywhere around the world without being sponsored au kutegesha mimba , upo nyonyo??
I have never experienced life hardship in my life except changamoto nyingine tu za maisha , ila Mimi kusema Nina shida sana na pesa ? No , Niko na pesa zangu , I can take care of you and your family for the entire one fucking year , I’m that rich
... mtoto mdogo born in 2000 anaolewa na kibabu Ned Nwoko - Wikipedia (59) kisa Naira! Ni kazuri kangetulia kangempata wa age yake; badala yake ni kimke sijui cha nne no cha sita cha huyo tycoon.