Regina Daniels , despite her husband being a billionaire, she gets back to film industry.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nyie konokono wa bongo movie mkipata vibwana uchwara tu vinavyomiliki harrier basi mnajiona matajiri, mnaacha na kuigiza kabisa mnawekwa ndani mnakuwa ma house girl .

Haya mwenzenu Regina kaolewa ndoa sio mchumba au boyfriend , ako na mume Billionare , pesa kwake sio Tatizo, it doesn’t excite her anymore , she can be anything she wants , and yet kaamua kurud kwenye fani yake na sasa hvi yuko location aki shoot movie mpya nchini Nigeria [emoji1184]
 
AHAHAHAHA sa kama wanaigiza ili waonekane na wamshaonekana unataka waonekane ili iweje!
mxxxxxxxxxiou heb tupishe!
 
AHAHAHAHA sa kama wanaigiza ili waonekane na wamshaonekana unataka waonekane ili iweje!
mxxxxxxxxxiou heb tupishe!

Ahahah jaman wanazengo sio kwa kichambo hiki
 
Kwani ukiolewa si honey moon imeisha simtu anarudi kazini mali za mume sio kiashiroa cha kuacha ulichokuwa unafanya shida sio umaarufu shida ni kubadilisha mawazo na kukutana na watu wapya kila saa .
Mke ambaye anakazi nitofauti na huyo ambaye hana.
Huja mchangamfu na anamawazo chanya na pia hujiweka katika muonekano wenye mvuto kiufupi yuko smart .
 
Huyu ndio mwenye miaka 17? Tchaaa! nini kinamzeesha hivyo? Au ukidate na mzee anakuwekea chembechembe zake nawe unazeeka?! Pole yake..Amevuka stage ya usichana anatoka utoto anaenda umama.
 
Huyu ndio mwenye miaka 17? Tchaaa! nini kinamzeesha hivyo? Au ukidate na mzee anakuwekea chembechembe zake nawe unazeeka?! Pole yake..Amevuka stage ya usichana anatoka utoto anaenda umama.
mbona k lynn bado mbichi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…