Poleni sana,
Poleni familia za Luhanga na Maruma.
Surname zao zote mbili ni from powerful families za Machifu, Luhanga ni Machifu wa moja ya makabila ya Iringa na Maruma ni Chifu Uchagani, wakati Machifu wengine Moshi wakijiita Mangi, Maruma alibakia kuitwa Chief Maruma tuu na sio Mangi.
Kweli Yan mrangi kiboko. Anajuana na watu maarufu sana,mrangi, Yaani wewe mrangi kila mtu unamjua sijui una undugu na Mange Kimambi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdg wke smbd a. luhangaHivi huyu marehemu ana kaka yake au namfananisha?
Kweli Yan mrangi kiboko. Anajuana na watu maarufu sana,
Shukrani basi ndo huyuhuyu