Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Wakuu jana nimebahatika kumsikiliza ripota maalumu wa redio ya watu mwanamama Regina Mwalekwa akiripoti habari za bungeni kwa kweli kama walimtoa ITV/Rado1 katika "dirisha dogo la usajili" kuja kufanya kazi hii ni aibuu kweli Clouuddssss ni redio ya............Hebu sikiliza mwenye uchakachue na utoe jibu sahihi..
View attachment 17214[/QUOT
upuuzi mtumu huyu mama mtu mzima hovyooooo

Hayo ndio mambo ya Clouds wanakuja kwa kasi na wanataka kuwa super katika kila idara ya media
Mbu nina wasiwasi kuwa wasikilizaji wengi wa hii redio sio wengi kama unavyohisi...wenzenu weshafanya (Radio) Market research & analysis na kugundua wasikilizaji wao wanataka nini,
no wonder wanatumia style hiyo ya utangazaji.
Ita bore kwa baadhi. lakini kwa wasikilizaji wao 'loyal' aaah, ni kawaida tu (hawakwaziki)
No wonder wasikilizaji wa Clouds fm ni "wengi" sana. I wonder kama Tanzania kuna kipimo kujua idadi ya wasikilizaji kwa wiki (kwa kila Radio Stations na kila kipindi).
Nakumbukia kilio cha wengi Masoud Kipanya na Fina Mango walipoondoka Power Breakfast.
Hizo ni style tu za utangazaji.
Hapo umenena mkuu staili wanayotumia kupata wasikilizaji ni short lived maana inalenga group fulani katika jamiiMimi nilikuwa msikilizaji mzuri wa Clouds. Lakini ikafika sehemu nikagundua kama mambo hayaendi sawa. Kuna watu wanaona wanajua kila kitu wanasahau kama utangazaji ni kazi ambayo inataka umakini nikaacha kabisa kuisikiliza. Siku moja ofisini kuna mtu mmoja naye akatoa comment kuwa hasikilizi tena Clouds maana hawaeleweki.
Well, loyal listeners wao wengi ni vijana. Ila ili kupata wateja wa namna zote wanatakiwa kuwa makini sana na namna wanavyoendesha vipindi vyao. Wakijisahau watapata ushindi kwa njia ya kuchakachua maana kwa njia halali haitawezekana.
Haya tena tuone jinsi gani Clouds wataripoti issue ya wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni wakati JK anapoaanza kuhutubia bungeCLOUDS IMELENGA KUNDI MOJA SAWA KABISA NA CHADEMA........! CLOUDS INATAMBA MIJINI SAWA KABISA NA CHADEMA......CLOUDS INABOA MAKUNDI MENGINE KATIKA JAMII SAWA KABISA NA CHADEMA....!
USHAURI WANGU........ clouds na chadema....lisemwalo lipo( kama cuf na udini, chadema na ukabila) mtajitahidi kuukataa ukweli ila unaonekana..... makundi mengine katika jamii pia yawahitaji
Haya tena tuone jinsi gani Clouds wataripoti issue ya wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni wakati JK anapoaanza kuhutubia bunge
I am dissapointed with this Lady.Unajua ukiwa mzee ukajifanya msela utaonekana kama Comedy!Kuwa mtangazaji lazima uwe wewe,don't imitate some one else characters!Niliisave hii clip nilipomaliza tu kuisiliza nimeifutilia mbali haipo hata recycle bin!Hopeless+ None Sense
Mbu nina wasiwasi kuwa wasikilizaji wengi wa hii redio sio wengi kama unavyohisi
Wakuu jana nimebahatika kumsikiliza ripota maalumu wa redio ya watu mwanamama Regina Mwalekwa akiripoti habari za bungeni kwa kweli kama walimtoa ITV/Rado1 katika "dirisha dogo la usajili" kuja kufanya kazi hii ni aibuu kweli Clouuddssss ni redio ya............Hebu sikiliza mwenye uchakachue na utoe jibu sahihi..
View attachment 17214