mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
kwa kweli sijaelewa kilichotokea maana kama ni likizo..likizo gani ndefu namna iyo alafu waliokamata usukani wawafunike hadi uwepo wenu usahaulike mapema hivyo....:A S 103:
inshort huwa nalazimika kusikiliza jahazi jioni mara nyingi (sababu nje ya uwezo wangu) ila tangu mmeaga kiaina ni muda sasa umepita no hear you au ndo janja ya Seba kuwatupia kapuni mkatafute habari nyuma ya pazia..teh teh Chezea Clouds wewe :msela:
Nahisi itakuwa wamewasepesha kimyakimya,ila me naona waliopo Wasiwasi,Anold,kibonde wana-fit zaid coz kile kipind kinahitaji mtu mfuatiliaji wa mambo mbalimbali na anayejua mambo mengi mfano; ilikuwa ikifika segment ya michezo wanakaa kimya anaongea kbonde pekeyake.Anold namjua ktambo ana upeo mkubwa,hata Wasiwasi naona yuko poa.