Regina Mwalekwa

Regina Mwalekwa

Kifaranga

Senior Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
144
Reaction score
31
Wadau, ni siku nyingi sijamsikia Regina Mwalekwa wala Asmah Makau kwenye kipindi cha Jahazi. Wako wapi siku hizi???
 
watujuze wakuu! Hata mimi cjawasikia kitambo!!!
 
Kama kweli ni maternity leave ..sasa watakuwa na adabu baada ya uchungu wa kuzaa
 
capitaaaaaaaaaaaain nammiss sana yule jamaa kipindi alikipatia sanaaaana.
 
kipindi kimewashinda... bora wambembeleze Gadner arudi walau kwa lisaa limoja tu... laa sivyo ni utumbo mtupu!!!
 
Back
Top Bottom