Maternity leave!
Wote kwa wakati mmoja?
Wadau, ni siku nyingi sijamsikia Regina Mwalekwa wala Asmah Makau kwenye kipindi cha Jahazi. Wako wapi siku hizi???
Maternity leave!
wamefeli, wamepigwa chini, walikuwa wanacgekaceka tu
G Habashi iikua mwamba, tutakumiss.
Una uhakika?
Una uhakika unacho ki nena??