Uchaguzi 2020 Regina Zachwa: Tumrudishie Shukrani Rais Magufuli kwa kumchagua kwa kura nyingi za kishindo Oktoba 28

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
692
Reaction score
880

Mbunge mteule Viti Maalumu Mkoa wa Kagera (CCM) Regina S Zachwa amewataka wanachama wa CCM, wananchi kwa ujumla kurudisha Shukrani kwa Rais Magufuli kwa kumchagua kwa kura nyingi za kishindo October 28.

Amesema jambo pekee ambalo anatakiwa kufanyiwa Dkt Magufuli ni kuchaguliwa kwa kura nyingi za kishindo kwasababu ameleta heshima kwa Tanzania kwa kuweletea maendeleo kwa Wananchi wake bila kujali itikadi ya vyama rangi na kabila..

“Mimi na Chama changu tunapambana usiku na Mchana kuhakikisha Rais Magufuli anapata kura nyingi za kishindo katika uchaguzi huu ,na atavunja rekodi kwa Mkoa wa Kagera “ Regina S Zachwa
Your browser is not able to display this video.
 
Serikali haina shamba eti. Hivyo chakula hakitagaiwa kwenye ardhi ya kijani. Kila mmoja abebe msalaba wake .......mwafwaaaaaa(nimemnukuu mtu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…