Reginald Mengi na second midlife crisis...

Status
Not open for further replies.

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Ukimtazama Reginald Mengi jinsi alivyoingia kwenye hiyo vita ya ufisadi,mimi huwa kila siku najiuliza kama Mengi yupo okay kimawazo
(peace of mind), sio kwa sababu anchikifanya hakina maana, bali nguvu anayiitumia na obssession aliyonayo juu ya ya hiyo vita ya ufisadi, kama Mengi angekuwa na umri wa miaka ya hamsini (fifties) ungesema anapitia midlife crisis, but Mengi yupo kwenye themanini (eighties) sasa swali ninalojiuliza je anapitia second midlife crisis??? au nyinyi mnaona Mengi yuko normal kisaikolojia?

Binafsi namuona ana obsession na hao mafisadi kiasi kwamba maisha yake binafsi huenda yakawa yamevurugika kabisa, ana invest pesa na time kwenye hiyo vita katika mazingira ambayo mtu unaanza kuhoji state ya akili yake .... i mean for him it seems to be more like a personal thing na sio kuungana na watanzania kupambana na tatizo la taifa.

Sijui wana jf mnalionaje hilo.....?
 
Bora kuwa na obsession ya kupambana na ufisadi kuliko hao wengine wenye obsession ya kuiba pasipo kutosheka. Je hao wanaoiba mabilioni pasipo huruma wala kutosheka hauoni kuwa wana obsession mbaya?
 
Mageuzi mahala popote hayaletwi na watu wote..bali na wachache wanaojitolea muhanga.
 



jamani mengi ana miaka 80?????
Mbona kama hainingiii akilini vile
 

Boss, Mimi nashukuru kama unaelewa Mengi anachokifanya..... lakini, swali kwani mtu uwe mpiganaji wa UFISADI unahitaji kuwa na umri wa miaka mingapi ? Au unahitaji kutumia nguvu kiasi gani ? Nimelazimika kuuliza maswali kasababu hoja ya ndugu yetu sijaelewa ....... ukiangalia haraka haraka unaweza kusema katuma na MAFISADI....... sijasema....... Mimi nimeangalia sio kwa haraka tu nimetafakari ndio maana nimeuliza maswali hayo hapo juu.....
 
Acha kutuzuga na porojo zako za kubuni wewe. Tangu lini Mzalendo Mengi akawa na miaka 80???

Halafu unataka nani apinge mafisadi?? Lazima ajitokeze mhanga mmoja kama Mengi, hata vita vya kijamaa alijitokeza mmoja akawa kirongora, Mao wa China na wengine wa nchi za mrengo wa kulia (mashariki) au unasemaje??

Huyu Mengi is our hero and will remain our hereo forever!!
 

Inaelekea bado hujaelewa madhara na madhira yanayoletwa na ufisadi na mafisadi. Ndio maana unashangaa obsession aliyonayo Mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…