Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
πππππView attachment 3346291
"Nashukuru kwa heshima ya kuteuliwa kuwa mtaalamu CHAUMMA. Ingawa nathamini sana imani yenu, majukumu yangu ya sasa yananilazimu kuchukua "Back Seat" kisiasa kwa wakati huu. Nawatakia Sekretarieti mpya na Chaumma utendaji uliotukuka!"
Awali John Mrema alitangaza kuteuliwa kwake
View attachment 3346292View attachment 3346293
Halafu ikawaje?Reginald Munisi, alikuwa mwanachama wa CHADEMA. Alikuwa mjumbe wa Sekretarieti kwa miaka 10 chini ya uongozi wa Freeman Mbowe na kushika nafasi kama Mkurugenzi wa Mikakati na Mkurugenzi wa Uchaguzi.View attachment 3346308
Akahamia CHAUMMA na kuteuliwa kuwa mtaalamu wa mikakati, nafasi aliyodumu kwa siku mbili.Halafu ikawaje?
John Mrema alijua kahama chademaπππππ
Ambatanisha na kadi yake ya ChaumaAkahamia CHAUMMA na kuteuliwa kuwa mtaalamu wa mikakati, nafasi aliyodumu kwa siku mbili.
Hapa haupo sahihi. Nadhani ni mbinu za kumchafua asiaminike chademaAkahamia CHAUMMA na kuteuliwa kuwa mtaalamu wa mikakati, nafasi aliyodumu kwa siku mbili.
Mimi sio mtendaji wa CHAUMMAπAmbatanisha na kadi yake ya Chauma
Sasa kama mtaalamu wa mikakati amekataa inakuaje?π€£π€£View attachment 3346291