Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba Bw. Regis Uwayezu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo Rwanda.
Mwezi Julai mwaka 2024 klabu ya Simba ilimtambulisha Bw. Francis Regis Uwayezu kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo lakini miezi minne baadae [Novemba] klabu hiyo ikatangaza kusitisha mkataba na Uwayezu kwa makubaliano ya pande zote mbili.
-------------------------------------------
Kuna maswali hapa najiuliza ila sipati majibu:
1. Francis Regis aliajiriwa Simba akiwa Mnyarwanda ama Mtanzania?
2. Je ajira ya Francis Regis haikuwa na upande wowote wenye kiza ndani yake?
3. Idara za usalama zilikuwa na taarifa kuhusu ili au ndo wanashtuka kama tunavyoshtuka sisi huku mitaani?
4. Kwa upande mmoja tunaweza kupongeza kuwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba kwa sasa anakuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo Rwanda, ila je upande wa intelligence?
Hongera sana kwa Francis Regis.