Registration number ya University of Iringa

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Katika kuomba kazi zilizotangazwa na Tamisemi kuna kipengele cha kujaza namba ya usajili wa chuo. Mhusika alisoma chuo cha Tumaini University-Iringa baadaye chuo kikajitegemea kikawa University of Iringa (Uol).

Changamoto kwenye machaguo hakipo, naomba kama umepitia hiki chuo na umeomba kazi za afya umefanikiwa vipi.

Ahsante
 
Kinachotakiwa ni candidate registration number na siyo college registration number
 
Kwenye list ya vyuo ile sehemu ya kujaza chuo Uol haipo, na ispokuwepo kwenye machaguo hata kwenye kujaza kozi inakataa. Wewe umepitia hiki chuo? ili nijue we umefanya nini ukafanikiwa.
 
Hapana mkuu. Uelewa wangu umeishia hapo
 
Kinachotakiwa ni candidate registration number na siyo college registration number
Hii candidate registration number ni ile ya chuo maana uki apply inasema no data found
 
Katika kuomba kazi zilizotangazwa na Tamisemi kuna kipengele cha kujaza namba ya usajili wa chuo. Mhusika alisoma chuo cha Tumaini University-Iringa baadaye chuo kikajitegemea kikawa University of Iringa (Uol).

Changamoto kwenye machaguo hakipo, naomba kama umepitia hiki chuo na umeomba kazi za afya umefanikiwa vipi.

Ahsante
Chuo Kipo kwenye List, Kipo Mwishoni Kabisa, Tizama kwa Umakini... Mimi nimeomba na chuo kilikuwepo na bado kipo
 
kipo cha code UNIV university of Iringa. natafuta chenye Code UoL course ya m/jamii
 
Kuna University of Iringa Moja tu Nchi Hii, wao TAMISEMI wamekipa chuo Abbreviation Hiyo ya UNIV but ndiyo University of Iringa... Mind You UoI ni Abbreviation siyo Code... Apply, kabla ya deadline, hicho ndo Chuo Kikuu cha Iringa
 
kipo cha code UNIV university of Iringa. natafuta chenye Code UoL course ya m/jamii
Then Hakuna Course ya Maendeleo ya jamii, ajira zilizotangazwa ni za Ualimu na Afya, siyo za Maendeleo ya jamii...
 
hujasoma tangazo, kuna za ustawi wa jamii boss
 
sehemu ya registration number ni namba ya candidate au ya chuo. nimetafuta online nimepata hii CR1/030. we uliweka ipi
we aukuwa na registration number wakati unasoma Chuo? unweka reg. number yako wakati unasoma hiyo certificate/diploma/degree/masters... sasa kama kujaza taarifa ndogondogo hizo unakwama kazi utaiweza kweli?
 
sehemu ya registration number ni namba ya candidate au ya chuo. nimetafuta online nimepata hii CR1/030. we uliweka ipi
We ni kilaza sana aisee hivi huko chuo ulisomea ujinga
 
Back
Top Bottom