Rehema Chalamila a.k.a. Ray c asarenda kwa Yesu Kristo

hasason

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,539
RAY C AFUATA YA MASANJA NA MASTAA WENGINE, NAE AOKOKA KWA KUBATIZWA LEO! CHECK TUKIO ZIMA

Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.


SIFA, HESHIMA NA UTUKUFU KWA BWANA YESU KRISTO.




 
Yesu anabatiza kila kukicha, kweli dini ya Allah inapuputika kila sekunde.
 
Yesu amtie nguvu na amtumikie katika roho na kweli.
 
Tatizo langu mimi ni haya makanisa yanayoota kama uyoga, kama angekuwa ameamua kwenda RC , Pentecoste, Moroviani, Anglikana ama hata assembless ingekuwa poa lakini haya ya shika neno tenda neno hamna kitu tena akiangalia ndiyo atazama zaidi kwa taarifa yako
 

Pentecoste + assembless + shika neno tenda neno = 1

 
Pentecoste + assembless + shika neno tenda neno = 1


Tofauti sana maana hao akina Mzee wa Misukule, Mito ya Baraka, Mzee wa Upako na akina Mwingira zile ni ministry ndiyo hazina misingi ya makanisa ni vikundi vya wajanjawajanja.Kwa hiyo ameenda kuokokea kwenye vikundi vya wajanja wajanja na kuenda amepigwa 10% kwa ajili ya kutangaza jina la kanisa hilo
 
Topic inageuzwa sasa hivi...ha ha ha ngoja nirudi baadae
 

we are in democratic republic the constitution allows say whatever but break nor the law.

so i can argue not its your right constitution defends you.

but remember the same defends you is appropriate defends them to do what they are doing

so you have to respect them.
 
michael porter generic strategy, kesho tutasikia kaanza kuimba nyimbo za injili, hapo chacha!
 
Arudishe pesa za Ustaadhi Kikwete....
 

I am with Niwemugizi for sure, Rehema Chalamila aka Ray C if she would have been serious that she want to be a truely born again christian she should have opted Assembles of God or Pentecostal Churches. For her to go to the ministry and announce to the whole world that she is a truly born again is day light layer because through ministry there is no seriousness as it is just a gang of people who are there just to satisfy their needs using the world of God to rob people especially those people with problems
 
Yesu anabatiza kila kukicha, kweli dini ya Allah inapuputika kila sekunde.

we si nasikia umeachwa na mkeo nenda kafundishwe elimu ya ndoa na Mchungaji.Kiongozi.Mbunge.Mheshimiwa.Dr.Mama Getrude Rwakatale
 
Bwana akutie nguvu dada, kuokoka si mchezo wa kujaribu na kuacha. Usije geuka mnara wa chumvi. Songa mbele. Usisikie maneno ya wa2 kama wanaujua wokovu ulipo je wao wako huko? Kuokoka si kubadili dini. Ni kuwa kiumbe kipya ya kale yamepita tazana yamekuwa mapya. Sauti uliyoitumia kumwinua shetani yule joka sasa itumie kumwinua yeye aliye Mfalme wa Wafalme Simba wa Kabila la Yuda.
 

I clarity have the same perspective like yours that not all who mention the name of our Good Lord are His servants by

doing that i will be quenching the Word of God cause it is well alert us about them'

but the man heap up all of them in the same pot, there is where i argue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…