Rehema Chalamila a.k.a. Ray c asarenda kwa Yesu Kristo


Khaaaaaah! Ung'eng'e tabu, ...day light layer...
 

WAKUU EBU TUTEME KIMOMBO, NAONA HAWA JAMAA WAMEKUJA JUU. Nacheka balaaa.
 
Umechagua fungu jema,usirudi tena maana utakumbwa na pepo wengine wabaya zaidi ya wale wa mwanzo.
 
...the joy of the lord shall be your strength Ray c, go go go, no turning back...
 
Amechagua fungu lililo jema! Damu ya Yesu imfunike na kumuatamia na kupitia yeye wengi wavutwe kwa Yesu!
 
Mungu aonaye sirini akubariki kabisa.
Ray C , hapo umeshatoka na ujue kuwa wapinzani wa imani wapo wengi lakini ujue kuwa BWANA akiwa upande wako, hakula litakalokuwa juu yako.
 
...haaleluuuyaaaaaaaaaaa.....!
 

Ndg haijalishi mtu yuko kanisa gani cha muhimu anamwamini Yesu haina tatizo kwa imani ya Kikristo kwa kuwa safari ni moja.Kwa faida yako hata ukienda kusoma mambo ya malango ktk Jiji la Yerusalem utakuta yapo kumi na mbili,matatu kila upande (mashariki,magharibi,kaskazini na kusini) hivyo siku ya mwisho usije singizia nilikuwa upande flan na hapakuwa na mlango wa kupita na kujumuika ndani ya ule mji wa Yerusalem ambao Bwana alienda kuuandaa.Ni mawazo yangu tu nawasilisha.........
 
Yesu anabatiza kila kukicha, kweli dini ya Allah inapuputika kila sekunde.

Uko sawa mkuu? nini hiki?? Acha kukashifu dini za wengine. Wema alisilimu, Rose Ndauka akafuata, wolper naye ndani. Mbona waislam hawakutoa kashfa?? Si vizuri Mkuu
 

HILO NI TATIZO LAKO WEWE!!!!! Si la muhusika!! Next time mind your own business!!!
 

nosense!!!
 

I agree! Atakuwa muumini wa mataputapu huyo!
 

Ask those who have been robbed to report to police!!Otherwise shut the fack up!
 
Yesu anabatiza kila kukicha, kweli dini ya Allah inapuputika kila sekunde.
Mkuu Max, kumbe upo?!. Nakubaliana na wewe ni kweli Yesu anabatiza kila kukicha, ili pia Yesu mwenyewe alituasa, kuwa siku za mwisho zikikaribia, watajitokeza "yesu" "watatoa mapepo kwa jina langu!, watafanya miujiza ya uponyaji kwa jina langu!, lakini sio wa kwangu!".

Jee unajuaje huyo anayebatiza kama ni Yesu au "yesu?!.

Kwa maoni yangu, huyu binti kwa sasa yuko "desperate" hivyo she can do anything!. Take it from from, kwa jinsi nilivyosoma bandiko lake, hiyo ni kazi ya "yesu!" and time will tell not so long!.
Pasco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…