Rehema Chalamila a.k.a. Ray c asarenda kwa Yesu Kristo

Rehema Chalamila a.k.a. Ray c asarenda kwa Yesu Kristo

kanisa gani hilo tena? bhasi waachane na ruge maana anazini na mme wa mtu if she is meaning
 
Kijana, kajiratibu tena. ALLAH SI MUNGU na hata kwenye Koran Allah kasema hakuna Mungu, zaidi ya hapo Allah hakuwai sema hata sehemu moja kuwa yeye ni Mungu. Kama unabisha niletee aya moja tu ya Allah wenu akisema yeye ni MUNGU..

YESU KRISTO NI MUNGU,

Umesahau kusema Biblia pia ina maneno haya: We know that "An idol is nothing at all in the world" and that " There is no God but one." 1 Corinthians 8 NIV
 
Umesahau kusema Biblia pia ina maneno haya: We know that "An idol is nothing at all in the world" and that " There is no God but one." 1 Corinthians 8 NIV

Mtume Paulo anasema hayo maneno. Sasa swali kwako Nonda, who is that "but One" Unaweza tutajia kupitia Mtume huyohuyo Paulo?

Usikimbie.
 
Mtume Paulo anasema hayo maneno. Sasa swali kwako Nonda, who is that "but One" Unaweza tutajia kupitia Mtume huyohuyo Paulo?

Usikimbie.

Kwanza kubali kuwa Biblia pia imesema," hakuna Mungu" there is no God.

Pia ukubali kuwa unapotosha watu unaposema qurani inasema "hakuna Mungu"
Ukubali kuwa unapotosha, unatumia vibaya kauli hii. "hakuna Mungu isipokuwa Allah" There is no God but Allah. (There is no God but one.)

Utakapokiri kufanya upotoshaji, hilo la but the one, (ni nani huyo the one), nitarudi na kukupa ayat ya Biblia inayosema who is that dude(The one)
 
Imeandikwa "Njooni kwangu enyi nyote msumbukao na mizigo ya dhambi nami nitawapunzisha
Imeandikwa "Mimi ndiyo njia ya kweli na uzima, hakuna atayefika mbinguni kwa baba bila yangu mimi

Hongera sana Ray C.
 
wanajamvi, samahani kama ntakuwa nimechemka, hivi hiyo ni sura ya ray c kweli? yule kiuno bila mfupa?? ama
mbona huyu ni mrembo na bonge zaidi ya yule niliekuwa namwona kwenye video zake za miziki?
 
hamna kitu hapo anatafuta mbinu ya kutoka kimuziki wa dini wapi stara thomas hamna kitu hapo.
 
Pentecoste + assembless + shika neno tenda neno = 1

hiyo formula yako mkuu...mhhhh fanya research yako mwenyewe siloam (aka shika neno enda neno)..!!!! ..........!!!!@@@????????? iko tofauti sana. anaweza kuishia kuwa confused zaidi kama wengine wengi wanaosali pale walivyo.
 
Umesahau kusema Biblia pia ina maneno haya: We know that "An idol is nothing at all in the world" and that " There is no God but one." 1 Corinthians 8 NIV

Mtume Paulo anasema hayo maneno. Sasa swali kwako Nonda, who is that "but One" Unaweza tutajia kupitia Mtume huyohuyo Paulo?

Usikimbie.

1Cor 8
4So then, about eating food sacrificed to idols: We know that an idol is nothing at all in the world and that there is no God but one. 5For even if there are so-called gods, whether in heaven or on earth (as indeed there are many "gods" and many "lords"), 6yet for us there is but one God, the Father, from whom all things came and for whom we live; and there is but one Lord, Jesus Christ, through whom all things came and through whom we live. 7But not everyone knows this......
 
Watu wana mbinu mpaka basi. Rsy c bado anapenda muziki ila bongofleva imeshampa talaka. Kaona gospel itamtoa. Kajaribu dada
 
1Cor 8
4So then, about eating food sacrificed to idols: We know that an idol is nothing at all in the world and that there is no God but one. 5For even if there are so-called gods, whether in heaven or on earth (as indeed there are many "gods" and many "lords"), 6yet for us there is but one God, the Father, from whom all things came and for whom we live; and there is but one Lord, Jesus Christ, through whom all things came and through whom we live. 7But not everyone knows this......
Hii inafafanua zaidi.

Jesus said, "Do not hold on to me, for I have not yet ascended to the Father. Go instead to my brothers and tell them, ‘I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'" John 20:17
 
Mtume Paulo anasema hayo maneno. Sasa swali kwako Nonda, who is that "but One" Unaweza tutajia kupitia Mtume huyohuyo Paulo?
Usikimbie.

Hili sio jukwaa la dini jamani mbn mnaenda kinyume na post ya mwenzeny?
 
Mtume Paulo anasema hayo maneno. Sasa swali kwako Nonda, who is that "but One" Unaweza tutajia kupitia Mtume huyohuyo Paulo?
Usikimbie.

Hili sio jukwaa la dini jamani mbn mnaenda kinyume na post ya mwenzenu?
 
RAY C AFUATA YA MASANJA NA MASTAA WENGINE, NAE AOKOKA KWA KUBATIZWA LEO! CHECK TUKIO ZIMA

Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.

SIFA, HESHIMA NA UTUKUFU KWA BWANA YESU KRISTO.

unamaanisha kiuno bila mfupa?????😛ray:
 
Back
Top Bottom