Rehema Fabian live na Kibabu cha Kizungu

Rehema Fabian live na Kibabu cha Kizungu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Stori: Shakoor Jongo

KhAA! Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Rehema Fabian amenaswa laivu akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu, mnyetishaji wetu ambaye naye yuko nchini humo alisema kuwa kwa sasa mrembo huyo anajiachia na babu huyo ambaye kwa kumwangalia harakaharaka anaweza kuwa sawa na mjukuu wake.

"Unajua mapenzi ya wazee ni mazuri sana, kwanza wanajua kubembeleza, isitoshe hawakupi msongo wa mawazo mara kwa mara kama yalivyo mapenzi ya vijana na ndiyo maana Rehema akaona bora ajiachie na kibabu," alisema mtonyaji huyo.

Baada ya kupata ‘infomesheni' hizo, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Rehema ili kujiridhisha kuhusiana na stori hiyo ambapo kwa upande wake alianza kucheka kisha kudai aachwe ale ujana.

"Ahaha! Mshaanza mambo yenu, niacheni jamani nile ujana," alisema Rehema.

Credits:GPL
 
Hapo,mtandao 0713 utachakazwa vibaya mno. Jitambue bidada!
 
Akiludi bongo kabang yote hoi,mashuzi yanatoka bila breki....
 
huyu rehema nae anamlipa kimtindo nilikuwa simjui,
alafu babu yuko busy na kushikilia kiuno.....wakati mwenyewe yuko busy na kuweka pozi la picha
 
Hapo,mtandao 0713 utachakazwa vibaya mno. Jitambue bidada!

Sio wazungu wote wala 0713, Hiyo ni Kazi kubw aya Waarab na wabongo wa pwani…….!Lkn nasikia siku hzi mpaka wakurya na wasukuma wanapenda hiyo kitu si MAJANGA HAYA,Wabara na 0713 Wapi na WAPI….:rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez:
 
Rehema Fabian ndo nani hapo? Mi mbona naona wote wazee
 
Back
Top Bottom