Rehema Mwakangale hayupo nasi

amani ya Bwana iwe pamoja na wafiwa wote.

May her soul rest in eternal peace!!
 
Poleni sana jamii ya wana habari!. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe!
 
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina!
 
R.I.P Rehema Mwakangale.
Tulikupenda sana, lakini MOLA amekupenda zaidi.
 
Nathibitisha kuwa NI KWELI, Rehema amefariki saa 10 alfajiri ya kuamkia leo.

Alikuwa anasumbuliwa na Pumu.

Alikuwa Mtangazaji wa ITV.



ITV Presenters Profiles

RIP Rehema.

I never knew the presenter at personal level but through ITV she became part of the regular faces in our living room.

Our prayers and thoughts are with the bereaved family. May God console you during this hard time. Amen
 
'Wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana'
RIP Rehema Mwakangale
 
Tunaweza pata kidogo historia fupi ya marehemu?
Jamani mwenye data p'se.
Tupo pamoja ndugu,rafiki,wapenzi wa ITV na maadui katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
'Wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana'
RIP Rehema Mwakangale

NENO HILI jamani!!!..................ukishaona mwenzio ananyolewa (..................)


REST IN PEACE MAMA
 
Ladies & Gentlemen!!!

The bible says, '...when sorrow comes it will endure the night, but, joy shall come when dawn breaks through and fills the day with Light". May we all please join in our prayers so that our almighty God rest her soul in eternal peace.

The difference between ordinary and extraordinary is that little extra, that is what will be missed for her absence.
 
we will remember her forever, she was one of the best jounalists in the country.

may God rest her soul in eternal peace

Amen
 
Duuuhh!Ndiyo hivyo tena sisi hatuna ujanja mbele ya mwenyezi Mungu.
"INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJI'UN"
 
Duh inauma, lakini ndio mwisho wa binadamu. hakika kila mwanadamu atapitia njia hiyo.
tulimpenda sana Rehema lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
 
Pumzika kwa amani Dada Rehema.... Pole kwa wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki..........
 
Bwana ametoa, Bwana ametwaa.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu Rehema mahali pema peponi, Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…