Wakunyuti JF-Expert Member Joined Feb 11, 2008 Posts 380 Reaction score 13 Mar 3, 2009 #81 Poleni wafiwa hasa hasa familia yake, nawapa dedication ya Nyimbo ya Ma Dee- KAZI YAKE MOLA............
Poleni wafiwa hasa hasa familia yake, nawapa dedication ya Nyimbo ya Ma Dee- KAZI YAKE MOLA............
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Mar 3, 2009 #82 Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape faraja na uvumilivu ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu kwao~AMEN
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape faraja na uvumilivu ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu kwao~AMEN
R RR JF-Expert Member Joined Mar 17, 2007 Posts 6,968 Reaction score 2,035 Mar 3, 2009 #83 RIP Rehema. Mungu awajalie uvumilivu katika kipindi hiki cha majonzi ndugu na marafiki wa Rehema. Safari yetu sote ni moja.
RIP Rehema. Mungu awajalie uvumilivu katika kipindi hiki cha majonzi ndugu na marafiki wa Rehema. Safari yetu sote ni moja.
J Jitume Senior Member Joined Dec 13, 2008 Posts 142 Reaction score 23 Mar 3, 2009 #84 RIP Rehema.Ulipendeza na kuwa rafiki wa wengi. Lakini Mungu amekupenda zaidi.
M Mr II Senior Member Joined Feb 19, 2009 Posts 158 Reaction score 17 Mar 3, 2009 #86 Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Ameni.
K Kenge (Eng) JF-Expert Member Joined Dec 7, 2006 Posts 543 Reaction score 160 Mar 3, 2009 #87 RIP. This is the right way to everyone. She was still needed but who knows, her services required somewhere else. Tuombe sala ya kwenda na kufika huko mapema.
RIP. This is the right way to everyone. She was still needed but who knows, her services required somewhere else. Tuombe sala ya kwenda na kufika huko mapema.
K KGM Senior Member Joined May 21, 2007 Posts 190 Reaction score 21 Mar 3, 2009 #88 Poleni sana ITV na wafiwa, Mungu awape nguvu za ustahimilivu.
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Mar 3, 2009 #89 RIP Rehema Dunia tunapita........
Ilumine Senior Member Joined Dec 27, 2008 Posts 196 Reaction score 4 Mar 3, 2009 #90 Mwenyezi Mungu Mwingi wa Huruma, ampokee dada yetu na kumweka mahali pema ili apumzike kwa Amani. Amina.
Mwenyezi Mungu Mwingi wa Huruma, ampokee dada yetu na kumweka mahali pema ili apumzike kwa Amani. Amina.
Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Mar 3, 2009 #91 Ali gwa mbombo! (alikuwa mtu wa kazi). Mungu amlaze mahali pema.
SaidSabke JF-Expert Member Joined Sep 28, 2006 Posts 2,071 Reaction score 402 Mar 3, 2009 #92 Mungu ailaze roho yake mahali pema yote ni mapenzi yake ALLAH
Ng'azagala JF-Expert Member Joined Jun 7, 2008 Posts 1,288 Reaction score 222 Mar 3, 2009 #93 RIP REHEMA. it is hard to believe sisi tulimpenda lakini MUNGU anampenda zaidi jina lake litukuzwe
Shaycas JF-Expert Member Joined Feb 13, 2009 Posts 906 Reaction score 112 Mar 3, 2009 #94 Sote tu njiani,tunasafiri. Mungu ailaze ROHO YA MAREHEMU REHEMA MAHALI PEMA PEPONI
S SkillsForever Member Joined Sep 27, 2007 Posts 15 Reaction score 0 Mar 3, 2009 #95 RIP Rehema......kapumzike salama.bwana alitoa na ametwaa jina lake lihidiwe.
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,904 Reaction score 1,064 Mar 3, 2009 #96 Pole wafiwa wote. Ni huzuni kukupoteza Rehema. Na siamini kama sintakuona tena katika luninga yangu!🙁
Pole wafiwa wote. Ni huzuni kukupoteza Rehema. Na siamini kama sintakuona tena katika luninga yangu!🙁
Cynic JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 5,144 Reaction score 1,651 Mar 3, 2009 #97 Mwenyezi mungu akumrehemu. I extend my condolences to her family & friends
MpigaFilimbi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 1,169 Reaction score 187 Mar 3, 2009 #98 R.I.P!! It's our path at some stage!
The Invincible JF-Expert Member Joined May 6, 2006 Posts 6,006 Reaction score 3,275 Mar 3, 2009 #99 RIP Rehema. Poleni wafiwa wote.
Zitto Former MP Kigoma Urban Joined Mar 2, 2007 Posts 1,562 Reaction score 10,888 Mar 3, 2009 #100 Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen