Mbona unakataa halafu unakubaliDhana ya Ukifa hauendi popote ni uongo kwasababu hakuta kuwa na 'wewe' wa kwenda popote. Kama ambavyo hakukuwa na 'wewe' kabla hujazaliwa..ndivo itakavokuwa utakapokufa.
Na hii ni kwasababu hakuna kitu kinaitwa 'wewe'
Kila kitu unachomaanisha usemapo 'mimi' hakipo.
Soma kuhusu Qareen (karina) katika Uislam, utapata jibu la wazi kabisa.Naam hili jambo nilikuwa nalichukulia poa...lakini baada ya kuamua kufuatilia kidogo naanza kupata uthibitisho pasi kuwa na shaka juu ya mzunguko wa maisha ya viumbe sisi bin adamu.
Kwa kifupi sana tafiti ni nyingi lakini......nilipata kuishi nyanda za juu kusini mwa Tanzania nikiwa kijana mdogo miaka mingi sana iliyopita.
Nilikuwa nina rafiki yangu Mbulushi...rafiki yangu huyu kwa bahati mbaya alifariki.
Siku ya siku sina hili wala lile nikiwa katika nchi ya mbali sana nikakutana na kijana mmoja amefanana na yule rafiki yangu kwa zaidi ya asilimia 90%...nikabaki namshangaa...kitu cha ajabu na yeye kama alikuwa ananishangaa...nikamuuliza ulishawahi kuishi.
Tanzania...akasema hapana hata Neno Tanzania ndio leo analisikia.
Ajabu zaidi anasisitiza kwamba ananifahamu lakini hakumbuki ni wapi tulisha wahi kuonana
Mahali ambapo nilipata mshituko niliona alama katika mkono wake wa kulia sawasawa na yule rafiki yangu,,,(alama hii naikumbuka kwa sababu alianguka na baiskeli akachanika na kushonwa katika hospitali ya Aga khan)....sasa huyu jamaa anasema hiyo alama amezaliwa nayo hivyohivyo.
Nikijaribu kumuuliza yeye asili yake ni wapi anasema ni Afganistan na hana ndugu wala jamaa Afrika.
Kwa kifupi sana 1.Sauti yake 2.Ongea yake 3.Namna anavyotembea ni yule marehemu kabisa kabisa.
Yule Marehemu leo angekuwa na miaka kama 70 hivi na huyu niliyekutana nae yuko kwenye miaka ya 30 katikati.
aliposema jamaa angekuwa na miaka 70 ndo chai ilipoanziaMbona chai😄😄.
Marehemu kafa na miaka mingapi.
Na wew Sasa hivi una miaka mingapi?
Hauwezi kuzaliwa mara ya pili na wazazi TOFAUTI.HAIPO NA HAITAKUJA KUWEPO
kabisaaaHiyo unayosema wewe ni imani ya Kikristo au ya Kiislamu
Mleta mada anajaribu kuextend akili yake kwenda kwenye imani nyingine tofauti na hizi tulizozizoea. Na hakuna hata moja iliyothibitishwa kwa hiyo muache watu wawe free kufikiria beyond
Na wahinduMabuddha ndio wanaielewa kiundani hii dhana
ChaiNaam hili jambo nilikuwa nalichukulia poa...lakini baada ya kuamua kufuatilia kidogo naanza kupata uthibitisho pasi kuwa na shaka juu ya mzunguko wa maisha ya viumbe sisi bin adamu.
Kwa kifupi sana tafiti ni nyingi lakini......nilipata kuishi nyanda za juu kusini mwa Tanzania nikiwa kijana mdogo miaka mingi sana iliyopita.
Nilikuwa nina rafiki yangu Mbulushi...rafiki yangu huyu kwa bahati mbaya alifariki.
Siku ya siku sina hili wala lile nikiwa katika nchi ya mbali sana nikakutana na kijana mmoja amefanana na yule rafiki yangu kwa zaidi ya asilimia 90%...nikabaki namshangaa...kitu cha ajabu na yeye kama alikuwa ananishangaa...nikamuuliza ulishawahi kuishi.
Tanzania...akasema hapana hata Neno Tanzania ndio leo analisikia.
Ajabu zaidi anasisitiza kwamba ananifahamu lakini hakumbuki ni wapi tulisha wahi kuonana
Mahali ambapo nilipata mshituko niliona alama katika mkono wake wa kulia sawasawa na yule rafiki yangu,,,(alama hii naikumbuka kwa sababu alianguka na baiskeli akachanika na kushonwa katika hospitali ya Aga khan)....sasa huyu jamaa anasema hiyo alama amezaliwa nayo hivyohivyo.
Nikijaribu kumuuliza yeye asili yake ni wapi anasema ni Afganistan na hana ndugu wala jamaa Afrika.
Kwa kifupi sana 1.Sauti yake 2.Ongea yake 3.Namna anavyotembea ni yule marehemu kabisa kabisa.
Yule Marehemu leo angekuwa na miaka kama 70 hivi na huyu niliyekutana nae yuko kwenye miaka ya 30 katikati.
Samia mambo?Soma kuhusu Qareen (karina) katika Uislam, utapata jibu la wazi kabisa.
Hao watakaotucheka maisha yao hayabadilki?Sio tu haufi, au sio tu kwamba utazaliwa tena na tena, unaweza ukafa na ukabaki hapa hapa, isipokuwa mazingira yanabadilishwa kidogo tu wanakuweka kwenye ulimwengu unaofanana na ule uliokuwamo awali.
Kwanza hutajua kama umekufa, utaendelea tu huku wao wanakuchekaaaa!
Hii ni kwa wachache sana.
Kuna mambo huwa hayaelezeki katika kutumia au kufikiri kwa akili hii ya kawaida mtu aliyenayoNaam hili jambo nilikuwa nalichukulia poa...lakini baada ya kuamua kufuatilia kidogo naanza kupata uthibitisho pasi kuwa na shaka juu ya mzunguko wa maisha ya viumbe sisi bin adamu.
Kwa kifupi sana tafiti ni nyingi lakini......nilipata kuishi nyanda za juu kusini mwa Tanzania nikiwa kijana mdogo miaka mingi sana iliyopita.
Nilikuwa nina rafiki yangu Mbulushi...rafiki yangu huyu kwa bahati mbaya alifariki.
Siku ya siku sina hili wala lile nikiwa katika nchi ya mbali sana nikakutana na kijana mmoja amefanana na yule rafiki yangu kwa zaidi ya asilimia 90%...nikabaki namshangaa...kitu cha ajabu na yeye kama alikuwa ananishangaa...nikamuuliza ulishawahi kuishi.
Tanzania...akasema hapana hata Neno Tanzania ndio leo analisikia.
Ajabu zaidi anasisitiza kwamba ananifahamu lakini hakumbuki ni wapi tulisha wahi kuonana
Mahali ambapo nilipata mshituko niliona alama katika mkono wake wa kulia sawasawa na yule rafiki yangu,,,(alama hii naikumbuka kwa sababu alianguka na baiskeli akachanika na kushonwa katika hospitali ya Aga khan)....sasa huyu jamaa anasema hiyo alama amezaliwa nayo hivyohivyo.
Nikijaribu kumuuliza yeye asili yake ni wapi anasema ni Afganistan na hana ndugu wala jamaa Afrika.
Kwa kifupi sana 1.Sauti yake 2.Ongea yake 3.Namna anavyotembea ni yule marehemu kabisa kabisa.
Yule Marehemu leo angekuwa na miaka kama 70 hivi na huyu niliyekutana nae yuko kwenye miaka ya 30 katikati.
ubongo wako bado mchanga kufafanua mambo makubwaaliposema jamaa angekuwa na miaka 70 ndo chai ilipoanzia
Yes uko sahihi, kile kitendo cha kufukiwa futi sita chini, au kuchomwa moto mpaka uwe majivu maana yake umekufa tayari😄😄😄Kama unaishi, unakufa, unaenda kuzaliwa sehemu nyingine, ukiwa haujui kama umewahi kuishi.. Basi tuna kufa.
Either uzaliwe tena, au usizaliwe kwa vyovyote vile umekufa tu. Sijui kama mmenielewa.
Nafkiri ni kama inawezekana kuna ukweli Fulani kuna nyakati Fulani unajikuta unaenda sehemu au unaona sehemu katika TV halafu unajikuta kama Ile sehemu unaifahamu yaani sio sehemu ngeni kabisa machoni pakoHuwezi ukajua maana ya MUNGU ni mengi. Ni jambo linafkrisha pia, hv vip kama kweli mtu unapofariki kumbe unazaliwa nchi nyingne na tayal umepoteza kumbukumbu yoyote, yaan upo kama mtu aliyepata ajali kichwa kikaathirika kwa kupoteza data yoyote, hapo hata mama ako humkumbuki tena, in short hukumbuki chochote hata jina lako hulijui na hujui wew ni nan! Inafkrisha sana, huenda hata mm niliwah kuish kabla sijafa huko na kuzaliwa tena bongo! Mm sijui