Uwe mtu mzima Sasa na wewe mkuu 🤣nzalendo
Ukishaondoka duniani haurudi tena mkuu utabakia kwenye kizuizi kaburini mpaka siku ya kufufuliwa kwaajili ya kulipwa wema kwa wema na ubaya kwa ubaya, najua ni mtu mzima sasa, punguza haya matumaini na ujiandae na mauti yako.
Hii inaweza kuwa, ila nani yupo kwenye ndoto ya mwezake ? Sisi ndio tupo kwenye ndoto yako au wewe ndio upo kwenye ndoto ya mmoja wetu humu, au wote tunaota ndoto moja kwa pamoja, je huu ulimwengu wa sasa hauwi ndio ndoto
Ila tunajuaje kama hapa ndio mwisho, kwa kuwa hajawahi kurudi mtu na kutuonyesha, mi nahisi unapaswa kuweka possibility kwamba huenda kuna ulimwengu mwingine, mfano kuna jamii imejitenga na dunia hawajui nini kinaendelea hawajui mambo ya mawasiliano ya internet hawajui kuna Artificial intelligence, hivyo kwao wao wanavyoona ndio uhalisia wao ila sio uhalisia wote kwa ujumla, hawajui kuwa kuna dunia nyingine tofauti kabisa na wanayoijuaUwe mtu mzima Sasa na wewe mkuu 🤣
Ukitenda mabaya na ukafa hiyo imeisha, habari za kusema Kuna siku eti utatolewa kabulini ulipwe Kwa uliyotenda hizo ni hadithi tu.
Malipo ni hapa hapa Duniani, ukifa haujapata malipo Yako basi imeisha hiyo
Dhana ya ukifa hauendi popote ni uongo kwakuwa 'wewe' haupo.Mbona unakataa halafu unakubali
Unasema kuwa dhana ya ukifa hauendi popote ni uongo, halafu tena maelezo yako yanaonesha unakubali kuwa ukifa hauendi popote, maana yake unapotea mazima
Ni swali zuri ila kwa ujuzi wangu ni refu sana kama hujui chochote kuhusu consciousness(ufahamu)/Spirit, mwili na nafsi(soul).Hii inaweza kuwa, ila nani yupo kwenye ndoto ya mwezake ? Sisi ndio tupo kwenye ndoto yako au wewe ndio upo kwenye ndoto ya mmoja wetu humu, au wote tunaota ndoto moja kwa pamoja
😅😅 sawa mkuuusiamini nilichoandika
Sasa si ndo maana yake hiyo, kwamba ukifa unapotea mazimaDhana ya ukifa hauendi popote ni uongo kwakuwa 'wewe' haupo.
'Wewe' ni kitu ambacho kipo sasaivi tu. Hata usipokufa lakini baadae hiyo unayoiita 'mimi' saivi haitakuwepo.
'Wewe' ni kitu ambacho kipo kwenye wakati uliopo basi. Hivo kusema hiyo wewe kuna sehemu itaenda au haitaenda ukifa ni kosa la kimaantiki.
Unawaza kama mimi. Ni kama tukifa inakuwa tu kama kipindi ambacho hatukuzaliwa tayari, kama wewe umezaliwa 1990, basi ukifa inakuwa sawa na ilivyokuwa mwaka 1989 kabla hujazaliwaHivi kabla hatujazaliwa tulikuwaga wapi?
Mfano mimi nimezaliwa 1/1/1990, je December ya 1989 nilikuwa wapi?
Je inawezekana tukifa tunarudi kule tulikokuwa kabla ya kuzaliwa?
Kabla ya kuzaliwa hatukuwa na ufahamu wowote, inawezekana na tukifa tunakuwa hatuna ufahamu wowote kama tilivyokuwa kabla.ya kuzaliwa?
Na hapa tunachoongelea kwamba kina incarnate ni nafsi au roho? Navitofautishaje hivyo viwili?
Very confusing stuff 😆
sawaubongo wako bado mchanga kufafanua mambo makubwa
Naamini Mungu wetu ni Mungu wa haki,maandiko yanasema mtu anaweza kuua watu hata 10,000 lakini siku ya mwisho akitubu ataona pepo ,na mtenda mema akiharibu siku yake ya mwisho atapotea , dhana hizi ukichek hazina Haki lakini apa kwenye Reincarnation ndipo haki upatikana utaishi vile uliwatendea binadamu wenzako kwenye previous life,kama uliwatendea ubaya utayaishi hayo maisha ,kama uliwatendea mazuri ,pia utayaishi hayo mazuriHata mimi nahisi hatufi mazima
Lakini kuna dhana ambayo naona ipo sahihi zaidi. Nayo ni kwamba ukifa ndio unapotea mazima, haurudi tena duniani na ndio inakuwa imeisha hiyo
Hii naiamini kwa asilimia nyingi zaidi, japo kuna muda nikiwaza hata hiyo ya kwamba ukifa unazaliwa tena inamake sense kuliko hizi habari za kwenda motoni na peponi
Bangi unayovuta ni kali mnonzalendo
Ukishaondoka duniani haurudi tena mkuu utabakia kwenye kizuizi kaburini mpaka siku ya kufufuliwa kwaajili ya kulipwa wema kwa wema na ubaya kwa ubaya, najua ni mtu mzima sasa, punguza haya matumaini na ujiandae na mauti yako.
Ukifa cha kwanza ni kuvuliwa nguo na kila ulichonacho kinatolewa iwe pete, mkufu, saa n.k so jiandae kwasababu unaenda bila chochote mkuu.Kwani nani amesema haufi? Hapa mleta mada anamaanisha baada ya kifo, kwamba kuna uwezekano mtu akazaliwa kwenye mwili mwingine
Hakuna tofauti na wanaoamini kuhusu motoni na peponi
Pia unaposema nijiandae na umauti, actually mimi sijiandai na kifo chochote kile, ninaishi kawaida kivyangu mpaka umauti utakaponikuta wenyewe. Kwa nini nijiandae na sijui nakufa lini?
"Sema; Atakufisheni malaika wa mauti aliyewakilishwa kwenu, kisha kwa mola wenu mtarejeshwa."Unauhakika au unaishi katika kile ulichokaririshwa na maandiko ya waarabu.
".....na mbele yao kuna kizuizi {kaburi} mpaka siku watapofufuliwa."Ukiondoka unaenda wapi au na wewe haujui?
Subiri hiyo siku, mimi nipo nasubiri.Bangi unayovuta ni kali mno
LiniSubiri hiyo siku, mimi nipo nasubiri.