Hiyo inaelewa kwasababu inajieleza tofauti. Kama unajimu sicho ulichomaanisha hayo mambo ya nyota sijui za mapenzi ungeyaweka kando.Tatizo lako wewe unawaza mambo ya unajimu sana. Ukisikia mtu kasema "yule ni nyota wa filamu" we utawaza unajimu?
Nadhani wewe ndo uliekurupuka na hoja isiyojieleza vilivyo sasa unataka kunisingizia mimi.Hahahahaha! Babygal hajaelewa somo vyema, amekurupukia hoja!
As if.....Mh Baby Gal ana jaziba leo...
Watu wasio na hoja utawajua tu.Siku zote wanakimbilia kua offensive!Bahati nzuri vitu kama hivi sitilii maanani.Pole sana mrembo, yataisha tu, hebu meza chloroquine!
Haya ni mambo ya Akina Maalim ABALHASAN wA GAZETI LA mWANANCHI. Hujawasidia ila umewapa tahadhari. Je utatuzi ni upi kwa hizo nyota ? Na mtu atajuaje? Maana hujaweka kanuni ya kufuatwa!je unataka kurejesha nyota yako kimapenzi? Unapaswa kutambua kuwa kitu chochote muhimu na kizuri duniani kina hitaji mbinu sahihi ya kukipata. Hivi ndivyo hata katika mapenzi ilivyo, utakapo kurejesha nyota yako ya kimapenzi, unashauriwa kuchagua marafiki wenye staha ili uweze kufurahia maisha, fanya tathimin ya mwenendo wa mapenzi yenu, wewe na mweza wako, iwapo mambo hayako sawa jitahidi urekebishe haraka ipasavyo. Fanya mambo ambayo mkeo/mchumba/mpenzi wako huyafurahia na epuka kumkwaza mara kwa mara. Jitahidi kujali mambo yote mfanyayo na mwenza wako (hapa nakushauri uwe na kumbukumbu ktk golden moments zenu), usiwe mtu wa kukuza mambo na jitahidi kusamehe pale ukosewapo... Jishughuri she kuepuka utegemezi. Mengine ongezeni, kosoa pale uonapo sipo sawa!
Embu nikome.Umeambiwa nabite hovyo?!