Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 4,893 Reaction score 6,599 Aug 8, 2018 #21 Promo Hatuwezi kusahau ya nyuma kamwe
Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 Aug 8, 2018 #22 Hata Awe na record ya kumfikia mtu mashuhuri kabisa kupata kutokea kwenye hii dunia Yesu kwa kuwa kashapakwa shombo za ccm basi sifa zote zinageuka kuwa upuuzi mtupu. Ukiwa maarufu afu ukaenda ccm jua umaarufu wako unashuka mazima.
Hata Awe na record ya kumfikia mtu mashuhuri kabisa kupata kutokea kwenye hii dunia Yesu kwa kuwa kashapakwa shombo za ccm basi sifa zote zinageuka kuwa upuuzi mtupu. Ukiwa maarufu afu ukaenda ccm jua umaarufu wako unashuka mazima.
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,469 Reaction score 12,391 Aug 8, 2018 #23 digalangosha said: Rekodi ya hawa viumbe hujaweka Hashim thabeet Ali kiba Diamond Magu fool Click to expand... Bila kusahau Musa kipanya ndie aliyekata utepe...
digalangosha said: Rekodi ya hawa viumbe hujaweka Hashim thabeet Ali kiba Diamond Magu fool Click to expand... Bila kusahau Musa kipanya ndie aliyekata utepe...
T Tissaphernes JF-Expert Member Joined Mar 27, 2018 Posts 2,902 Reaction score 3,560 Aug 8, 2018 #24 Kwenye Forbes mtoe
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 8, 2018 #25 5 . OPERATION JOKATE - 2018