OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Simba inamaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni kwa point 35 magoli 36
- Okwi akiongoza kwa kufunga magoli 12 kati ya mechi alizocheza ktk mzunguko wa mechi 15 round ya kwanza
- Magoli ya Simba Leo dhidi ya Majimaji yamebeba namba 7 kwani magoli yote yamefungwa katika dakika ya 17,27,57,67 huku mfungaji wa magoli 2 ya mwisho Okwi akiwa anavaa jezi no 7
- Simba ni timu pekee inayomaliza mzunguko bila kufungwa
- Katika mechi nne za mwisho kila aliyekutana na mnyama alichukua kadri ya hasira za mnyama.......
- Ndanda 0-2 Simba
- Simba 4-0 Singida
Kagera Sugar 0-2 Simba
Simba 4-0 Majimaji
Mechi nne goli 12 Simba hajaruhusu goli hata moja - Jumla ya magoli ya wafungaji viongozi wa Yanga hayafikii magoli ya Okwi. Chirwa na Ajib jumla wana magoli 11 huku Mzee Okwi akiwa na 12
- Fowadi wa Yanga anazidiwa magoli na beki wa Simba. Haaaaa haaaaa Ajibu ana magoli 5 huku Asante Kwasi akiwa na goli 6