Rekodi chafu ya Mnyama Simba kumaliza duru ya kwanza

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
  1. Simba inamaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni kwa point 35 magoli 36
  2. Okwi akiongoza kwa kufunga magoli 12 kati ya mechi alizocheza ktk mzunguko wa mechi 15 round ya kwanza
  3. Magoli ya Simba Leo dhidi ya Majimaji yamebeba namba 7 kwani magoli yote yamefungwa katika dakika ya 17,27,57,67 huku mfungaji wa magoli 2 ya mwisho Okwi akiwa anavaa jezi no 7
  4. Simba ni timu pekee inayomaliza mzunguko bila kufungwa
  5. Katika mechi nne za mwisho kila aliyekutana na mnyama alichukua kadri ya hasira za mnyama.......
  6. Ndanda 0-2 Simba
  7. Simba 4-0 Singida
    Kagera Sugar 0-2 Simba
    Simba 4-0 Majimaji
    Mechi nne goli 12 Simba hajaruhusu goli hata moja
  8. Jumla ya magoli ya wafungaji viongozi wa Yanga hayafikii magoli ya Okwi. Chirwa na Ajib jumla wana magoli 11 huku Mzee Okwi akiwa na 12
  9. Fowadi wa Yanga anazidiwa magoli na beki wa Simba. Haaaaa haaaaa Ajibu ana magoli 5 huku Asante Kwasi akiwa na goli 6
# NanikamaSimba!!!!
 
I recall with Simba we have been through this road before with ultimate disappointment at the end of the season.

kikubwa ni ku maintain consistency.
 
Bakisheni maneno, hata msimu uliopita mambo yalikuwa hivi! Mpira wa miguu una maajabu sana! Hata hivyo mna mioyo migumu, miaka 6 bila kombe!?
 
Bakisheni maneno, hata msimu uliopita mambo yalikuwa hivi! Mpira wa miguu una maajabu sana! Hata hivyo mna mioyo migumu, miaka 6 bila kombe!?
Ana mdomo mrefu huyu,eti simba bingwa sithani
 
So what? Umeshachukua ubingwa wewe? Acha kelele. Wanunua mechi nyie.
 
Hahahahaha yanga bila malinzi ni kama kumsukuma mlevi tu
 
Bakisheni maneno, hata msimu uliopita mambo yalikuwa hivi! Mpira wa miguu una maajabu sana! Hata hivyo mna mioyo migumu, miaka 6 bila kombe!?
Mwaka huu tutalipata. Jamali Malinzi hayupo aliyekuwa kikwazo kwetu..
 
Kwa trend ya hapo kwenye namba 6 na 7, naona sasa Simba wameamua kugawa nyumbani nne anayefuata anakula mbili.
Sasa ukienda na hiyo trend ni wazi Yanga inaangukia kwenye goli nne.
 
Mwaka huu hakuna viporo mwaka huu hakuna kadi nyekundu za ovyoovyo mwaka huu hakuna Manji Wala Jamal malinzi mwaka huu hakuna Mhaya pale mwaka huu ni haki tu ndio mana duru ya kwanza imeisha timu hazijapishana Sana point kwa kiasi kikubwa. Yanga mmechukua ubingwa Kwa kubebwa na malinzi maana alikuwa tarishi WA manji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…