Uchaguzi 2020 Rekodi mpya: Mapacha kuwa wabunge wa kuchaguliwa kwa tiketi ya CCM

Uchaguzi 2020 Rekodi mpya: Mapacha kuwa wabunge wa kuchaguliwa kwa tiketi ya CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rekodi mpya inaweza kuwekwa ya mapacha kuwa wabunge kwenye bunge lijalo.

Mapacha hao ni Kulwa Biteko aliyeongoza kura za maoni jimboni Busanda na Doto Biteko ambaye ni Waziri wa Madini aliyeongoza kura za maoni jimboni Bukombe.

biteko.JPG

Maendeleo hayana vyama!
 
Hivi memba mwenzetu digba sowey alichukua fomu jimbo lipi maana baada ya huu mchakato kapotea kabisa
2462365_0BEF4ACE-AC05-4DEA-B8C1-60AD550957E7.jpeg
 
Back
Top Bottom