J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 23, 2020 #1 Rekodi mpya inaweza kuwekwa ya mapacha kuwa wabunge kwenye bunge lijalo. Mapacha hao ni Kulwa Biteko aliyeongoza kura za maoni jimboni Busanda na Doto Biteko ambaye ni Waziri wa Madini aliyeongoza kura za maoni jimboni Bukombe. Maendeleo hayana vyama!
Rekodi mpya inaweza kuwekwa ya mapacha kuwa wabunge kwenye bunge lijalo. Mapacha hao ni Kulwa Biteko aliyeongoza kura za maoni jimboni Busanda na Doto Biteko ambaye ni Waziri wa Madini aliyeongoza kura za maoni jimboni Bukombe. Maendeleo hayana vyama!
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Jul 23, 2020 #2 Hivi memba mwenzetu digba sowey alichukua fomu jimbo lipi maana baada ya huu mchakato kapotea kabisa
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Jul 23, 2020 #3 Mr Q said: Hivi memba mwenzetu digba sowey alichukua fomu jimbo lipi maana baada ya huu mchakato kapotea kabisa View attachment 1514311 Click to expand... Dah kumbe mapacha wa kufanana kabisa. Ikawe heri kwao wapate ubunge
Mr Q said: Hivi memba mwenzetu digba sowey alichukua fomu jimbo lipi maana baada ya huu mchakato kapotea kabisa View attachment 1514311 Click to expand... Dah kumbe mapacha wa kufanana kabisa. Ikawe heri kwao wapate ubunge
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 1,899 Reaction score 4,055 Jul 23, 2020 #4 Hiyo mitumbo sasa! wabongo kwanini hatujali miili yetu.