MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Hatimaye kwa mara nyingine na kwa mara ya tatu mfululizo timu ya Mo Dewji imenyakua kombe la kujaza uwanja kama kawaida katika mwanzo wa msimu.Katika hali ya kustaajabisha na ya kusikitisha timu hiyo kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kukamilisha kombe la kujaza uwanja mwanzo wa msimu,Huwa Hawaonekani kabisa mwishoni mwa msimu 😀
Je, hii ndiyo kusema wanaMo Dewji hawa ni Kaizer Chief iliyochangamka? 😀 au ni timu iliyojifia kitambo? Je, hizi ndizo tabia za timu za shirikisho?
Je, hii ndiyo kusema wanaMo Dewji hawa ni Kaizer Chief iliyochangamka? 😀 au ni timu iliyojifia kitambo? Je, hizi ndizo tabia za timu za shirikisho?