Mimi ni Simba Lakini Mafanikio ya Simba Ni ya Simba.
Sio kipimo kwa Timu yoyote.
Mafanikio yako Dasino ni kwa faida yako sio kukomoa wengine, au Kujitapa.
HUU NI USHAMBA
Simba Ina changamoto kibao.
Unaweza ukazitaja zikawa Chanzo Cha kufanikiwa zaidi.