Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
YANGA VINARA WA UFUNGAJI WA CAFCL HADI SASA !.
Klabu ya Yanga ndio timu inayoongoza kwa kufunga magoli mengi hadi sasa hatua ya Makundi CAFCL . Ikiwa ni mara yao ya kwanza tangia mashindano haya kubadilishwa jina kuitwa Caf Champions League : Wananchi wanaaandika rekodi ya kuwa iliyofunga magoli mengi hadi sasa .
[emoji3502]Yanga wamefunga magoli 09 hadi sasa wakiwa nafasi ya pili Kundi D .
[emoji3502]Asec Mimosas wamefunga magoli 07 hadi sasa wakiwa vinara wa Kundi B .
[emoji3502]Tp Mazembe wamefunga magoli 6 Sawa na Mameloadi Sundown wote wakiwa Kundi A .
Wananchi kwenye Rekodi bora kwenye Mashindano ya Afrika .
Huku Simba wakiwa ni vinara wa yellow cards 16 kwenye champions league [emoji23][emoji23]..,..ama kweli maisha ni kuchagua
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app