Ni kweli ila Kwa Stellen Tunavuka kwenda NusuLigi ya Africa kusini ni ngumu kuliko ligi yetu,labda tujilinganishe kwa takwimu za mechi za kimataifa
Ligi haihusiki hapo,,almaary anatoka ligi number one africaLigi ya Africa kusini ni ngumu kuliko ligi yetu,labda tujilinganishe kwa takwimu za mechi za kimataifa
Hizo stats ni za CAFCC msimi huuLigi ya Africa kusini ni ngumu kuliko ligi yetu,labda tujilinganishe kwa takwimu za mechi za kimataifa
Ligi ya Africa kusini ni ngumu kuliko ligi yetu,labda tujilinganishe kwa takwimu za mechi za kimataifa
Yanga ipi ya tano tano? Ile iliyoshindwa kupata goli moja tu nyumbani? Wakisema wananunua, wanakuja juu!labda kama itashinda goli za Yanga Tano Tano
Hawakai na mpira wale.Simba wanaweza kutinga fainali lakini kwa tahadhali kubwa. Wale jamaa wana kasi sana, winga wanateleza