Rekodi za Yanga dhidi ya Kaizer na wengine

Hivyo vipigo ni vingapi?

Kwahiyo Kaizer na Simba ni timu za netball?

Hakuna Utopolo mwenye akili,akiongea,akiandika ni Utopolo.

Utopolo ni kitu kilicholegea mithili ya mlenda.
Tuliza akili usome ukiwa na utulivu, naona una vinasaba vya kukalia kama timu yako.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe naye unashindwa kukua kama hiyo ni FAKE?
 
Na ndio mmekutana na kaizer mkapigwa 4G, je mngekutana na Wydad, Esperance or Belouizdad!!! Si mngepigwa 10!!!! Bahati yenu mmekutana na vibonde 😁
 
Na ndio mmekutana na kaizer mkapigwa 4G, je mngekutana na Wydad, Esperance or Belouizdad!!! Si mngepigwa 10!!!! Bahati yenu mmekutana na vibonde [emoji16]
Nyani haoni kundule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uto bana....!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…