Rekodi zaonyesha tumeonewa kwenye hili la Visa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Rekodi zinaonyesha sababu ya eti Watanzania wapewe zuio la viza kwa sababu hawarudi si la kweli kuna nchi nyingi sana wanatuzidi. Kuna sababu nyingine za siri

USA babyyyy!!!
Kwani si mkae hapa hapa home jaman
Hayo mambo Sisi wa nanjilinji hayatuhusu
 
Rekodi zinaonyesha sababu ya eti Watanzania wapewe zuio la viza kwa sababu hawarudi si la kweli kuna nchi nyingi sana wanatuzidi. Kuna sababu nyingine za siri

tatizo watanzania midomo inatuponza kitu si kitu basi unakikuta ni headline kwenye vyombo vya habari ndo matokeo yake haya sasa.

USA imefanyia kazi maneno ya umbea.
 
Rekodi zinaonyesha sababu ya eti Watanzania wapewe zuio la viza kwa sababu hawarudi si la kweli kuna nchi nyingi sana wanatuzidi. Kuna sababu nyingine za siri

Nani kasema wapewe zuio la visa kwa sababu hawarudi?

Wadogo zangu wanakuja kunisalimia Marekani kila mwaka, bila kukosa, katika likizo zao.

Na likizo zao zikiisha wanarudi kwenye kazi zao Tanzania.

Hizo takwimu zako zinaonesha watu wanaoingia, hazioneshi watu wanaotoka, na kwa hivyo, haziwezi kujibu swali la nchi gani wakiingia hawarudi kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mnaubavu naninyi muwajibu wamarekani kwa kuwanyima visa kama hamtakufa njaa.
 
Nani kasema wapewe zuio la visa kwa sababu hawarudi?

Wadogo zangu wanakuja kunisalimia Marekani kila mwaka, bila kukosa, katika likizo zao.

Na likizo zao zikiisha wanarudi kwenye kazi zao Tanzania.

Hizo takwimu zako zinaonesha watu wanaoingia, hazioneshi watu wanaotoka, na kwa hivyo, haziwezi kujibu swali la nchi gani wakiingia hawarudi kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna takwimu tatu tofauti hapo
 
Kuna takwimu tatu tofauti hapo
Kuna takwimu za Admission, Apprehended na Returned.

Hakuna takwinu za watu wanaoingia Marekani halafu hawarudi kwao.

Marekani haina takwimu hizi. Hili hambo lishazungumziwa sana kwenye mjadala wa uhamiaji Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rekodi zinaonyesha sababu ya eti Watanzania wapewe zuio la viza kwa sababu hawarudi si la kweli kuna nchi nyingi sana wanatuzidi. Kuna sababu nyingine za siri

TUMEONEWA sana kwani nini kutulimganisha sisi na Syria, si huu ni upuuzi na dharau kuu.?
 
Back
Top Bottom