Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukumbuke kuweka rekodi ya kuchukuwa ubingwa mara 3Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-
1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY
*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU YA POVU JINGIII....
Mala????????mijitu ya yanga haiwezi hata kuandika dah!!!!Ukumbuke kuweka rekodi ya kuchukuwa ubingwa mala 3
We mbumbumbu hebu tulia,msimu huu muende UNMala????????mijitu ya yanga haiwezi hata kuandika dah!!!!
pia mwaka 2012 ni record ya Mikia fc kutwaa kombe la ligi kuu hadi leo hii wanaishia kulisikia tu masikioniRekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-
1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY
*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU YA POVU JINGIII....
Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-
1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY
*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU YA POVU JINGIII....
mie nakumbuka Team hizi wameifunga timu moja ya Tanzania katika kombe la Club bingwa ya AfricaRekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-
1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY
*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU YA POVU JINGIII....
Mara ya mwisho? Kwani ligi imefutwa?Dah umenikumbusha mbali sana 2012 ndio ilikuwa mara ya mwisho kwa club yangu pendwa ya Msimbazi kutwaa ndoo ya Ligi kuu. Kitambo sana asee.
Tutajie na timu zilizochukua makombe mengi Tanzania kuanzia mwaka 2012 mpaka sasa kwa ligi kuu!
Dah umenikumbusha mbali sana 2012 ndio ilikuwa mara ya mwisho kwa club yangu pendwa ya Msimbazi kutwaa ndoo ya Ligi kuu. Kitambo sana asee.
Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-
1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY
*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU YA POVU JINGIII....
Akikutajia nistue na mimi mkuu nisikie[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tutajie na timu zilizochukua makombe mengi Tanzania kuanzia mwaka 2012 mpaka sasa kwa ligi kuu!