Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 VPL kuanzia Mwaka 2012

Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-

1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY

*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU YA POVU JINGIII....
Ukumbuke kuweka rekodi ya kuchukuwa ubingwa mara 3
 
Rekodi za uchochezi hizi.

Umezisahau timu nyingi tu, kuna Mgambo JKT, Majimaji, n.k
 
Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-

1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY

*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU YA POVU JINGIII....
pia mwaka 2012 ni record ya Mikia fc kutwaa kombe la ligi kuu hadi leo hii wanaishia kulisikia tu masikioni
 
Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-

1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY

*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU YA POVU JINGIII....
 
Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-

1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY

*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU YA POVU JINGIII....
mie nakumbuka Team hizi wameifunga timu moja ya Tanzania katika kombe la Club bingwa ya Africa
1- Haras El Hodood Egypt 5-1
2- FC Libolo Angola 4-0
hivi ni team ipi hiyo??
 
Simba kwa kumbukumbu....nani kafungwa mechi nyingi
 
Kile kipigo cha 7 bila cha Ruvu kilikuwa cha Yanga,wamepiga tambiko la kufa mtu wakatokea kwenye penati
 
Dah umenikumbusha mbali sana 2012 ndio ilikuwa mara ya mwisho kwa club yangu pendwa ya Msimbazi kutwaa ndoo ya Ligi kuu. Kitambo sana asee.
Mara ya mwisho? Kwani ligi imefutwa?
 
Tutajie na timu zilizochukua makombe mengi Tanzania kuanzia mwaka 2012 mpaka sasa kwa ligi kuu!

"Mkuu jiangalie tutakupiga sasa hivi. Sisi huwa hatupendi kuongelea rekodi za kijaja kama hizo. Tuache na rekodi zetu wenyewe": - In their Voices.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dah umenikumbusha mbali sana 2012 ndio ilikuwa mara ya mwisho kwa club yangu pendwa ya Msimbazi kutwaa ndoo ya Ligi kuu. Kitambo sana asee.

Tutakupiga Mkuul, huo utani sisi hatuupendi kabisa. Ngoja nimuite Mkuu Moderator aifute komenti yako. Inatuchefua! πŸ˜€
 
Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-

1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY

*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU YA POVU JINGIII....

Ongezea na ile timu iliyopigwa bao 7 kule south africa kwenye mmtanange wa kirafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…