Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 VPL kuanzia Mwaka 2012

Mtoa mada tutajie na timu pekee yenye tabia ya kula rambirambi!
 
pia mwaka 2012 ni record ya Mikia fc kutwaa kombe la ligi kuu hadi leo hii wanaishia kulisikia tu masikioni
Kutwaa ubingwa ni timu nyingi tu bado, ila kula mkono bila ni timu chache sana na ndio maana inaleta attention kidogo.
 
Simba kwa kumbukumbu....nani kafungwa mechi nyingi


[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Ndiyo Kafungwa Mechi Nyingi na Simba...

Ila tu Huwa Munajitia Upofu Nyie [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Munapotaja rekodi Kati Ya [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Yanga[/HASHTAG] ni nani aliyemfunga Mwenziwe Sana! Basi Munaleta rekodi Za Ligi Kuu tu Kuonesha eti Yanga Kamfunga Simba Michezo Mingi!! Kwani Zile Ligi nyengine Michezo yake haihesabiwi?

Tukichukua Michezo yote ambayo Simba na Yanga Zimekutana basi Yanga Kafungwa Maranyingi, tena Kaachwa mbali sana na Simba.

Lakini Ukihesabu Michezo ya Ligi Kuu tu! Basi Simba Kafungwa Mara Nyingi na Yanga....

Hebu Tuangalie Michezo yote Waliyokutana Simba na Yanga.

1) Ligi Kuu
2) Afrika Mashariki na Kati
3) Tusker Cup
4) Mapinduzi Cup
5) Mtani Jembe

Tukihesabu Michezo yote Ya Hapo Kukutana Yanga na Simba Basi Hesabu itakuwa ni Nyengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…