Relationship is a team work, wanawake msiyachukulie mahusiano kama sehemu ya kutatua matatizo yenu ya kiuchumi



Kama ni Mkristo soma Biblia kitabu cha Mithali :10 na kuendelea utaona kuwa hata mwanamke anapaswa kuwa na nguvu ya uchumi katika ngazi ya familia [emoji108]

Mke mwema anafananishwa na merikebu za biashara toka mbali.

Soma Sifa za mke mwema kuanzia mstari wa 10 hadi mwisho.

Unaambiwa mwanamke anatafuta mashamba na kuyanunua kwa hela ya jasho lake mwenyewe [emoji108]

Someni Maandiko vizuri kuepuka upotoshaji.
 
Uhuru na usalama wa kiuchumi hasa ndio unawaingiza wengi/baadhi huko kwa sasa, huko zamani sijui walikuwa wakiingizwa na nini kwenye ndoa.
 
naungo mkono hoja,,,WELL SAID
 
Kama mimi, hata wanja siwezi paka
 
Sasa kama mnayajua yotee hayaa...

Huko kwenye Ndoa mnafata nini?

#YNWA
Nimeanza kukuelewa mkuu. Unapokuhali kuoa jua na mambo kama ya mtoa mada yapo.

Tatizo wanaume wengi huwa wanawaamini saana wanawake wakagk maneno tu yanaweza kumng'oa kwako achapwe kilaini na jamaa.

Ukioa kubali yote sio kuleta malalamiko ilhali ulijua yatajiri hayo.
Na wewe mleta uzi tafuta pesa acha lawama. Kuna wanawake kibao hata hawahitaji sent zako wafate hao. Hao ving'asti wa mjini achana nao utakua maskini kesho tu.
 
Unajichora hivi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukitulia utaweza banaaa ni mazoezi tu.



hiyo naweza, ila wanja ndo nimeshindwa kabisaaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

uwiii huyu ukikutana nae peke yako uchochoroni, kelele zitakuhusu

yaan ni kasheshe na nusu

hahahahahahahahahahha
 
Mwanaume wengine wamekuwa wakitumia pesa vibaya kwa Umalaya halafu baada ya muda wanakuwa ombaomba kwa watoto wao na wapwa zao.

Ni vile wengi hawayajui Maandiko vinginevyo wangekuwa wanawaonesha baba zao nakuwaambia β€œ baba ulipaswa kuwa na mali za kukufanya ukidhi mahitaji yako yote hadi mwisho wa maisha yako yote kisha unirithishe Mimi na watoto wangu yaani wajukuu zako”

Sasa baba umebugi wapi?

Maandiko Matakatifu yanataka Mwanaume uwe na mali kiasi hadi wana wa wanao (Wajukuu) kuzikuta na kurithi utakapokuwa haupo.

Mfalme Suileman alifika mahali aka-declare kuwa ni ubatili mtupu na sawa na kujilisha upepo.

Mmepewa bure toeni bure !
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kuna siku nilipaka ila ilikuwa ya kitu spesho, japo niliteseka sana
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…