jino kwa jino JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 794 Reaction score 191 Dec 16, 2010 #1 WanaJF naomba kujua wanaoandika status zao hasa knye Fecebook it's complicated ni kwamba wamechakachuliwa sana au wanamanisha nini, ???
WanaJF naomba kujua wanaoandika status zao hasa knye Fecebook it's complicated ni kwamba wamechakachuliwa sana au wanamanisha nini, ???
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Dec 16, 2010 #2 Uhusiano upo ila kama haupo!Wanakua hawana uhakika kama bado wako kwenye uhusiano au la(mfano mmoja kaharibu ila hawajafikia kuambiana sikutaki tena)...kama wanao uhusiano au hawana (wameongea ila hawajatamkiana/kubaliana rasmi kua pamoja).
Uhusiano upo ila kama haupo!Wanakua hawana uhakika kama bado wako kwenye uhusiano au la(mfano mmoja kaharibu ila hawajafikia kuambiana sikutaki tena)...kama wanao uhusiano au hawana (wameongea ila hawajatamkiana/kubaliana rasmi kua pamoja).