Reli mpya ya kisasa SGR yazinduliwa Kenya

Duuuh.. Hiyo treni yenyewe mbona kama MITUNGI YA GESI ya oryx[emoji577] [emoji577] [emoji577] [emoji577] [emoji577] [emoji577] .. Ni za mwendokasi kweli hizo[emoji579] [emoji581] [emoji582] [emoji584] mbona old school sana.. Poleni kwa kubambikwa Mchina hana masihara kabisa [HASHTAG]#RIPkenyansSGR[/HASHTAG] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji165] [emoji577] [emoji577] [emoji577]
 
Yetu iko tu sawa, leteni zenyu zinakaa chupaa ya cocacola, na ziwe bullet train za freight alafu when that is done you can comment
 
Nice photos... Ila Wachina kila wanapojenga wanatumia style ya majengo ya Kichina, utadhani tuko China

Hata Wamarekani wangejenga wangetumia style zao, hivyo sio issue hata sasa tunajifunza Kichina kwa kwenda mbele.
 
Duuuh.. Hiyo treni yenyewe mbona kama MITUNGI YA GESI ya oryx.. Ni za mwendokasi kweli hizo mbona old school sana.. Poleni kwa kubambikwa Mchina hana masihara kabisa [HASHTAG]#RIPkenyansSGR[/HASHTAG]

Heheee.... Mate imegeuka kuwa chumvi... Meza tu kaka....
 
Bado tunazidi kuoneshwa kuwa tukiacha maneno vitendo vitadhihirika waziwazi Hongera Kenya
 
Hata Wamarekani wangejenga wangetumia style zao, hivyo sio issue hata sasa tunajifunza Kichina kwa kwenda mbele.
Kichina kwa sasa kinakuwa lugha ya kibiashara. I think I'd learn Chinese too...
 
Hongereni sana wakenya kwa hatua mnayopiga kwenye sekta ya usafirishaji
 
Duuuh.. Hiyo treni yenyewe mbona kama MITUNGI YA GESI ya oryx.. Ni za mwendokasi kweli hizo mbona old school sana.. Poleni kwa kubambikwa Mchina hana masihara kabisa [HASHTAG]#RIPkenyansSGR[/HASHTAG]
Bora wao kaka. Mbn sisi hatuna hizo za kubambikiwa wala za za mitungi ya maji...???
 
Wakenya naomba kujua kama kuna Rais yeyote wa Uganda au Rwanda au Congo aliyehudhuria the launch sababu sijafuatilia pia hongereni hasa kwa station.
 
Ni,njeeka fio ,,
 
Duuuh.. Hiyo treni yenyewe mbona kama MITUNGI YA GESI ya oryx.. Ni za mwendokasi kweli hizo mbona old school sana.. Poleni kwa kubambikwa Mchina hana masihara kabisa [HASHTAG]#RIPkenyansSGR[/HASHTAG]
Nyie mnayo,yenu iko wapi iliyofanana na hiyo πŸ˜€πŸ˜€
 
Nyie mnayo,yenu iko wapi iliyofanana na hiyo πŸ˜€πŸ˜€
It's just a matter of time bro just wait for our SGR, It will be one of the best SGR in Africa plus those in Morocco and South Africa... Its miracle to inaugurate something today but it's quality is very poor compared to those inaugurated by Moroccans and South Africans years ago... Can't you ask yourself why President Magufuli decided to drag away the contract with the Chineses and take Turkeys +Portugueses.... #wameibiwa#mitungiYagesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…