Habari zenu wadau.... Nahitaji msaada wenu
Nataka kufungua internet cafe sasa nipo kwenye njia panda. Kuna SASATEL & TTCL.
Ni ipi kati ya hawa providers wana cheap, reliable & speedy internet connection?
Msaada wenu wa mawazo ni wa muhimu.
Natanguliza shukrani!
Speed inategemea fweza yako tu muzee!
Zain na Zantel bei na huduma zao zikoje?
Hasa kwa biashara ya cafe.