robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,144
- 3,338
Huwa kuna vituo vya kureseat.Ili ugombee urais lazima uwe na elimu ya digrii,kwa nini ulisoma TABORA GIRLS wakati wewe ni mwanaume
Bwana Kisandu amani kwako! baada ya salamu, nakiri wewe ni kaka yangu, umenitangulia miaka 4. jambo la muhimu jifunze kucheza kwa furaha yako upendavyo lakini usitoke nje ya mapigo ya ngoma yenyewe 'mkito/lele' naamini kuwa panapopigiwa kelele pana kasoro. raha ya jf hatufahamiani kwa sura lakini tunafajamiana kwa hoja zilizoshiba, itikadi na milengo tofauti tofauti. ukiona wadau humu wanakosoa juu ya unachotumegea, fanya maamzi sahihi ya 'mabadiliko' mada zako kiukweli huwa zinahitaji akili pana na tulivu kuzielewa na hata msomaji akijitahidi kuziongezea ujuzi wa ziada kupata chochote aghalabu hakina tija iliyotarajiwa.
*upande wangu nakupongeza kwa kuwa muwazi juu ya kiwango chako cha elimu na jinsi ulivyoisotea hadi ikakufikisha hapo ulipo 'mwalimu wa kiswahili'
*kwa uzi wako wa leo 'cv' umenilisha kitu kingine kipya ambacho hakitanipa shida sana kuelewa kwanini unapenda sana 'kujaribu' na kujiamiani 'umefanya'
*pengine kuna hatua kadhaa uliruka katika maisha ya makuzi na sasa inakugharimu.
*kuna pahala ulipata kusema ulipishana kauli na viongozi wako wa dini hata ukachukua hatua ya kujiondoa ktk huduma kisa tu haupandishwi daraja, isije kuwa madhira yake yanakuandama mkuu.
*jiulize kwanini kukosolewa na kuonekana una upungufu isivyo kawaida kunatokana na nini?
hongera sana mkuu. ila umetoka mbali sana. Mshukuru Mungu kwa hatua hiyo. kwa nini na ka-siasa unakamendea mkuu? au ndio mambo ya falsafa I'm living what i'm teaching!! kunbuka Yesu hapendi changanya!!!!!!Mimi ni mwalimi wa General Studies. Kiswahili ilikuwa kabla sijapata kadigrii.
Mkuu kwa kumbukumbu zangu hakurudi tenaJamaa alihama akaapa na viapo, baadae akarudi tena... huyu ana mtatzo
Labda cha Bariadi maana nacho huwa kina lipua haraka hahahahKisandu bana leo umepiga cha arusha au chakahama??!!
bullsh!t....Biograph fupi ya Deogratius Kisandu.
Kuzaliwa: 28 Juni 1980. Nakuitwa jina "MASHAKA" hospitali ya wilaya ya kahama, shinyanga.
Kubatizwa: 28 Juni 1992.
Nakuitwa jina "DEOGRATIUS"
Parokia ya kahama mjini.
Komunio ya kwanza: 28 Juni 1992.
Parokia ya kahama mjini.
Kipaimara: 06 Novemba 1994 na Mhashamu hayati Askofu Matheo Shija.
Parokia ya kahama mjini.
UTUMIKIZI WA MISA KANISANI: 1995- November 2002: Jimbo katoliki la Kahama.
1995-2002: Mwenyekiti wa Vijana Rafiki WA Yesu WA Mtakatifu Fransisko WA Asizi(VIRAFRA) Jimbo katoliki la kahama.
July 1998-April 1999: Mwanafunzi wa Utawa wa shirika la Ndugu wadogo wa Afrika, Morogoro.
1999-2002: Mwanachama wa TYCS jimbo katoliki la kahama.
1992-2002: Nimeshiriki semina nyingi sana za dini na makongamano mengi sana ya kidini.
2014-up to dàte: Muimbaji wa Nyimbo za Injili.( kipindi cha nyuma miaka ya 2004 niliwahi kufanya mziki wa Bongofleva na kutoa album kwa jina la MASQO na iliitwa "Usiunyanyapae moyo wangu"
2015-2017: Mshiriki wa mafunzo ya Dini na mwanajumuia za KATEKESI jimbo katoliki la Mwanza.
Nawasilisha,
Deogratius Nalimi Kisandu.
Tatizo vituo viko vingi kwanini kufanyia kituo cha girls kitu kinacholeta ukakasi kwenye CV.Huwa kuna vituo vya kureseat.
Hakuwa school candidate
Haaaahaaaa nimecheka sana Teacher On Duty aka T.O.D mmmmh hatari sana.Umesahau uliwahi kuwa mwalimu wa zamu (T.O.D),
Hivi hujawahi kuwa mwalimu wa nidhamu kweli,
Koua je?
Au mimi ndo nachanganya ? Ni muhimu kwenye CV yako we jamaa