REMA huyu anaweza akawa mkali wa siku zijazo baada ya ufalme wa wizkid na davido kupita

REMA huyu anaweza akawa mkali wa siku zijazo baada ya ufalme wa wizkid na davido kupita

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
Habari wakuu
Kama heading yangu inavosomeka hapo juu huyu kijana kutoka marvins ya mkongwe don jazzy amekua akijitahidi kutoa nyimbo kali kama dumebi, why, iron man, corny kwa wafuatiliaji wa mziki wa africa watkua wamenielewa sana na ngoma zake zmekua hit african naona atakuja kuwa msanii mkali sana baada ya miaka miwili mitatu
REMA_on_Instagram%3A_%E2%80%9CIt%E2%80%99s_high_time_kids_start_getting_this_bag%2C_you_with_...jpeg
REMA_on_Instagram%3A_%E2%80%9CI_remember_when_I_dey_suffer.%E2%80%9D%22_.jpeg
 
REMA ana sound kama WIZKID ni kama alivyo HARMONIZE anaye sound kama DIAMOND .

Rema na Harmonize lazima watengeneze identity zao ili wafike mbali zaidi.
 
Wale wanao jifanya kuimba nyimbo mashairi marefu,nawaonea huruma,nyimbo za huyu dogo hazina mashairi marefi ila vikombwezo,vibwagizo plus na biti zinazovutia .Mimi hii nyimbo siku ya kwanza niliiona trace,nikaielewa siku hiyo hiyo.



Kuna watu wanamponda Mondi,eti siku hizi hatungi kama zamani,lkn ukisikiliza wanaijeria nyimbo zao simple tu wanatoboa,ukisikiliza Gheto Love ya Wizkid haina mambo mengi,ile kile kiitikio kipo simple lkn ndicho kilichopendezesha nyimbo,hata asiyejua lugha basi kwenye kiitikio lazima ata respond.
 
Rema boy dogo yuko vizuri ata alipokuja maison show ilikuwa nzuri ..na wish afike mbali nami naona atafika mbali
 
Namkubali Sana

Kuanzia dumebi Hadi iron man
 
Wizkid habari nyingine mzee,ana pini mbili saiv,Joro na Ghetto love ni hatari,ndani ya siku mbili tu Ghetto love imepga 1m streaming huko sportfy aisee.
 
kashindwa tecno itakuwa huyo dogo ana safari ndefu kuwafikia hao jamaa
 
ahahaha yani huyo dogo anaeimba kama hana meno hamfikie wiz mnyama starboy.
 
ahahaha yani huyo dogo anaeimba kama hana meno hamfikie wiz mnyama starboy.
 
ahahaha yani huyo dogo anaeimba kama hana meno hamfikie wiz mnyama starboy.
 
Back
Top Bottom