fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Namkubali Sana
Kuanzia dumebi Hadi iron man
Sawa mkuu.Tafuta EP yake mpya inaitwa commando na soon anatoa nyimbo mpya spaceship
Yuko vizuri ana EP yake pia ya free style ina nyimbo kama spider man ..
Corny pia .. japo hata siskii kinachoimbwa.. hahhaNamkubali Sana
Kuanzia dumebi Hadi iron man
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mie nimeona hilo.ahahaha yani huyo dogo anaeimba kama hana meno hamfikie wiz mnyama starboy.