Rematch: Anthony Joshua Vs Andy Ruiz imetangazwa rasmi

Hivi mkuu unalinganisha huyu mtoto AJ na Lennox?

Huitendei haki boxing, infact Lennox ni moja ya watu walinitoa mchezoni kwa kumpiga my all time Fav, Tyson.
Wataalamu wa mambo wanasema Tyson hakuwa kwenye his prime
 
Jamaa yuko fast sana uharaka wake hauendani na mwili wake
 
Boxing sikuhizi umekua mchezo wa kidranzi sana..yani matokeo yanapangwa nje ya ringi ili watu wapige pesa...aj mechi ya mwanzo aliuza!!
Umbea utakuua dogo.kachambue mchele achana na masumbwi
 
Huyu dogo AJ anatakiwa aache kulewa sifa za waingereza, anaweza kuwa na wakati mgumu tena.
 
Punguza mahaba.Lennox sio amigo Andy Ruiz junia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…