Rematch ya esperance na wyadad casablanca

Tanzaniano Tz

Member
Joined
Jun 27, 2019
Posts
27
Reaction score
51
Habarini wadau?hivi ile mechi ya marudiano ya klabu bingwa africa ni lini na wapi uwanja teule???
 
Hakuna tena marudio, mahakama ya usuluhishi mambo ya michezo imeamua kuwapa tena ubingwa Watunisia Esperence
 
Hii tunataka ipigwe taifa kwa mkapa ili juhidi za kuinua michezo awamu ya tano zionekane mpaka kwa mabeberu
 
Hakuna tena marudio, mahakama ya usuluhishi mambo ya michezo imeamua kuwapa tena ubingwa Watunisia Esperence
Kama ni kweli mpira wa Africa hovyo kabisa ndo maana wanatudharau
 
Hakuna uamuzi uliofanyika na CAS bali wamerudishia suala hilo CAF ili wa review ..CAS wamesema kamati ya utendaji ya CAF haina uwezo kisheria kuamua mechi irudiwe.Hivyo wanataka kamati inayohusika itoe uamuzi kuhusu mechi hiyo.
Source:BBC Sports Africa.
 
Wawaachie tu kombe Espérance de Tunis.Sasa hivi mzuka wote upo kwa season ijayo. Mihemuko ya champions ligue final ushapoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…