Safi sana mkuu. Thread yako imenikumbusha huyo Trevor Berbick alivyogongwa baadae na Mike 'iron' Tyson. Berbick aliangushwa mara tatu. Anyway Ali atabaki kuwa Ali daima.
Hakuwa boxer lakini wakati alipochomwa sindano za kumuua alikuwa anachukua zoezi la kuimba nyimba inayosema THANK YOU ALLAH na hapo alikuwa aukane ukristo na kuingia uislamu rasmi.Akina Obama wakaona hee !.