mmhhh pole sana my dear
ni mengi yatakukumbusha baba
Picha, Nyimbo, mavazi , familia na mengine mengi..
saa nyingine mie naona
si vizuri kukaa na ku wish vitu
amabvyo wafahamu kabisa havitatokea..
Ni bora kusikiliza nyimbo ambazo
yeye alikuwa anazipenda na vitu kama hivyo
ni bora kumkumbuka kwa mazuri na uzuri wake..
na si kujiongezea majonzi ..
kweli siku kama hii ya leo ita kukumbusha mengi..
kama ninavyowaambia wengine kumbuka..
"anakuangalia sasa na anakucheka jinsi uavyo lalamika"
kumbuka yuko nyumbani , dahhhh sasa labda anakata ugali wa samaki ...
Naelewa unachopitia kwani nami nimepitia ....
Pole sana