Remitano wazindua sarafu ya Renec na kuanza kwa kishindo

Mavurunza

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
230
Reaction score
172
Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec.

Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao.

Renec iliingia sokoni ikiwa na thamani ya $ 0.1 lakini ndani ya saa 24 ilipanda thamani hadi kufikia $ 3+

Hongereni wote mliochangamkia fursa hii adhimu, na shukran za pekee kwa wale waliopokea mwaliko wangu.

normal_Remitano-Renec-mainnet-Officially-Enables-SWAP-RENEC-USDT.jpg
 
Ukihitaji fursa zingine za kufanya mining kama Renec unaweza kunicheki PM.
 
Tatizo wenzetu wabongo kuamini hizi mambo ni kazi sana. Nilimshirikisha mpk mdogo wangu akamine mpk hamsini akaacha hakuverify account yake wameondoka nazo juzi namuonyesha zaidi ya milioni 2 nilizochimba ikiwemo locked anajilaumu na hapa kwa bei iliyopo sokoni kila wiki ninauhakika wakuingiza sio chini ya elfu 30 na ikiwalisted exchange nyingine najua bei itapanda zaidi.
 
Watu wengi wanaogopa kuibiwa hata sehemu ambayo haweki pesa, wanasema kama huweki pesa basi wataiba data, mostly data zenyewe ni msg za mapenzi tu. Hawataki kufanya utafiti kujiridhisha. Kwa ambaye amekuwa serious na hii programu ya mining toka mwaka jana ilipoanza hakosi mgao wa sh 200,000+ kila wiki kwa miaka mitano. Na hapo hii bei haina hata wiki. Baadaye inaweza kuwa nzuri zaidi. Niliowashirikisha wakanibeza wanabaki kusikitika tu.
 
Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec.

Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao.

Renec iliingia sokoni ikiwa na thamani ya $ 0.1 lakini ndani ya saa 24 ilipanda thamani hadi kufikia $ 3+

Hongereni wote mliochangamkia fursa hii adhimu, na shukran za pekee kwa wale waliopokea mwaliko wangu.

View attachment 2396043
Wewe ndo ulinifanya ni mine renec nikawa na mine kivivu nikapata 60 naona sasa hv zina thaman ya lak tatu na kitu
 
Najua hamta wakosa. Na mnajua kuweka majina ya kutamanisha kwelikweli. Mr bata,

jangili plaza na yule dogo aliye anza na kukodi matrecta,

kalinda/karinga, karata tatu/cheusi chekundu nani kaona?

Tuma kwa namba hii ..... sim yangu imeharibika
 
Muhimu kabla hujawekeza pesa zako, hakikisha una knowledge ya kutosha kwanza. Apart from that, tafuta free mining apps ambazo unaona sio scam na zina future nzuri uanze kufanya mining. Hizo ni almost risk free kwa kuwa huwekezi pesa yoyote.
Nishirikishe namna ya kufungua account ili nianze kuwekeza kidogokidog pls
 
Wewe ndo ulinifanya ni mine renec nikawa na mine kivivu nikapata 60 naona sasa hv zina thaman ya lak tatu na kitu
Hongera na pole kwa kufanya mining kivivu. Hope umejifunza jambo next time ukipata opportunity kama hiyo.
 
Coins zote za Renec zimekua locked na Remitano. Huwezi kutoa wala kuuza
 
Back
Top Bottom