Tatizo wenzetu wabongo kuamini hizi mambo ni kazi sana. Nilimshirikisha mpk mdogo wangu akamine mpk hamsini akaacha hakuverify account yake wameondoka nazo juzi namuonyesha zaidi ya milioni 2 nilizochimba ikiwemo locked anajilaumu na hapa kwa bei iliyopo sokoni kila wiki ninauhakika wakuingiza sio chini ya elfu 30 na ikiwalisted exchange nyingine najua bei itapanda zaidi.Ukihitaji fursa zingine za kufanya mining kama Renec unaweza kunicheki PM.
Watu wengi wanaogopa kuibiwa hata sehemu ambayo haweki pesa, wanasema kama huweki pesa basi wataiba data, mostly data zenyewe ni msg za mapenzi tu. Hawataki kufanya utafiti kujiridhisha. Kwa ambaye amekuwa serious na hii programu ya mining toka mwaka jana ilipoanza hakosi mgao wa sh 200,000+ kila wiki kwa miaka mitano. Na hapo hii bei haina hata wiki. Baadaye inaweza kuwa nzuri zaidi. Niliowashirikisha wakanibeza wanabaki kusikitika tu.Tatizo wenzetu wabongo kuamini hizi mambo ni kazi sana. Nilimshirikisha mpk mdogo wangu akamine mpk hamsini akaacha hakuverify account yake wameondoka nazo juzi namuonyesha zaidi ya milioni 2 nilizochimba ikiwemo locked anajilaumu na hapa kwa bei iliyopo sokoni kila wiki ninauhakika wakuingiza sio chini ya elfu 30 na ikiwalisted exchange nyingine najua bei itapanda zaidi.
Wewe ndo ulinifanya ni mine renec nikawa na mine kivivu nikapata 60 naona sasa hv zina thaman ya lak tatu na kituKama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec.
Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao.
Renec iliingia sokoni ikiwa na thamani ya $ 0.1 lakini ndani ya saa 24 ilipanda thamani hadi kufikia $ 3+
Hongereni wote mliochangamkia fursa hii adhimu, na shukran za pekee kwa wale waliopokea mwaliko wangu.
View attachment 2396043
Nishirikishe namna ya kufungua account ili nianze kuwekeza kidogokidog pls
Coins zote za Renec zimekua locked na Remitano. Huwezi kutoa wala kuuzaHongera na pole kwa kufanya mining kivivu. Hope umejifunza jambo next time ukipata opportunity kama hiyo.
Nipo hapa kakaUkihitaji fursa zingine za kufanya mining kama Renec unaweza kunicheki PM.