Remittances from Kenyans living abroad reached $3.7 billion in 2021 from $3 billion in 2020.

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Wakenya wanaoishi nje ya nchi walituma nyumbani USD 3.7 billion mwaka wa 2021. Hii pesa ni nyingi sana na imeingia kwenye uchumi wetu.

IMG_20220116_182805_451.jpg

Remittance inflows hit RECORD HIGH in December.

The cumulative inflows in 2021 were a record of USD 3,718 million from USD 3,094 million in 2020, a 20.2 percent increase. The US remains the largest source of remittances into Kenya, accounting for 63.2 percent in 2021.

Source: Central bank of Kenya.
 
Hiyo hela ni ndefu sana, hongereni sana diaspora wetu, watu wanajituma sio haba.
 
Good news to you..i hope our Diaspora learn a thing or two..we are still below 1billion usd

Diaspora wa Afrika wenye pesa ni Nigeria, Kenya, Uganda, Ghana, Zimbabwe, Cameroon, Ethiopia, Somalia, Liberia, DR congo, mataifa mengine yaliyobaki ni tia maji tia maji maana hizo nchi huko ughaibuni zina kwanza wawekezaji, wasomi wenye vitengo huko, wanamichezo aina mbali mbali huko ughaibuni, wajasiliamali wengi, Tanzania bado na Bara inashindwa na Zanzibar maana Zanzibar wako wengi nje kuliko bara
 
Nigeria ndio wazimu kabisa, wao wanatuma hela nyumbani zaidi ya 30 billion USD kila mwaka. Yaani ukichukua pesa inayotumwa na Waafrika wengine wote bara nzima ya Afrika bado haifikii pesa inayotumwa na Wanigeria.
 
Diaspora wa Afrika wenye pesa ni Nigeria, Kenya, Uganda, Ghana, Zimbabwe, Cameroon, Ethiopia, Somalia, Liberia, DR congo, mataifa mengine yaliyobaki ni tia maji tia maji maana hizo nchi huko ughaibuni zina kwanza wawekezaji, wasomi wenye vitengo huko, wanamichezo aina mbali mbali huko ughaibuni, wajasiliamali wengi, Tanzania bado na Bara inashindwa na Zanzibar maana Zanzibar wako wengi nje kuliko bara
pia kuna hii
Screenshot_20220117-072043_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom